Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujumbe Huu wa Ray Umewagusa Wengi

Mkali wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara kadhaa amekuwa akiandika ujumbe mbali mbali kwenyekupitia ukurasa wake mtandaoni kuhusu maisha kwa ujumla.

Ray

Ray

Kila mtu amekuwa akizichukulia jumbe hizo kwa namna anavyofikiria yeye mwenyewe lakini huu wa leo umewakuna wengi.

Ray ameandika;

“Katika maisha unapoamua kuwa na mtu ni kwa maisha yako usihitaji mtu kwa ajili ya watu na usipende kuishi kwa macho ya watu hata shetani alikataa mbingu na Mungu hakuilaani mbingu alimlaani yeye...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Wewe ni Kijana Chini ya Miaka 40? Ujumbe Huu wa Ray Ukufikie

Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema LIFE BEGINS AT 40. Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na familia yako tayari.. Uwe na kwako tayari siyo umepanga bado.. Uwe na usafiri binafsi.. Uwe na kitu chako cha kukuingizia pesa na si kutegemea ajira peke yake. At 40!

At 40 unatakiwa uwe umeshapata exposure kwa kusafiri huku na kule dunia hii kujua wengine walioendelea zaidi wanaishi vipi na wewe...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe: Tutafute Pesa Sio Kusengenyana-Ray

Pesa Ni Sabuni Ya Roho Hata Kama Mdogo Utaitwa Mzee Hata Kama Una Sura Ya Kawaida Utaitwa Handsome Boy Hata Kama Una Roho Mbaya Utaambiwa Una Roho Nzuri . SASA VIJANA WENZANGU TUPAMBANE KUTAFUTA PESA NA C KUSENGENYANA.. (MONEY TALKS)

raythegreatest on instagram

 

 

10 years ago

Vijimambo

HUU NI UJUMBE WANGU KWAKO

UKITENGENEZA MAISHA YAKO USIMSAHAU Mama, Daima Usimdharau Mama, mpende Mama na umtunze sana Mama. Mvumilie sana kwa mapungufu yoyote yale utakayoyaona kwake, hayupo alie mkamilifu kwa% Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo la Mama, MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwa Mama!. Kitanda chako kilikua miguu yake, Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.

 

10 years ago

Raia Mwema

Serikali imesikia ujumbe huu wa Ukimwi?

MWISHONI mwa wiki iliyopita, mkutano mkubwa wa wanasayansi na mashirika makubwa ya kimataifa yana

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu ndiyo Ujumbe wa JB Kwa Wachepukaji

Kadri unavyo jitahidi kuitunza na kuijali nyumba ndogo...ndivyo unavyo hatarisha ndoa yako..Sababu namba mbili wote hutamani kuwa namba moja..Tafakari chukua hatua...Michepuko sio dili....

By Jacob Stephen ‘JB’ @ jb_jerusalemfilms on instagram

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray — “Mwaka huu filamu za nje tu, ni mwendo wa Ghana na Nigeria”

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi a.k.a Ray amejipanga kufanya filamu nyingi za kimataifa mwaka huu, huku akiweka bayana ataanza na Ghana pamoja na Nigeria.

Kwa mujibu wa tovuti Bongo5 , Ray amesema ndani ya mwaka huu ataweka pembeni kazi za ndani na kujikita kimataifa zaidi.

“Nimepanga kufanya mambo mengi mwaka huu, lakini mwaka huu movie zangu zote nitafanya International sitafanya movie yoyote ya hapa hapa kwa sababu kama hapa nishafanya sana, kwahiyo movie zangu zote...

 

9 years ago

Bongo Movies

Ray Atoa ya Moyoni Wenzake Kutumika Kwenye Uchaguzi Huu

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi ‘Ray’  afunguka haya kuelekea October 25 siki ya kupiga kura.

 (FREEDOM OF SPEECH)

Kijana mwenye upeo mkubwa na kuona mbali anayetambua matatizo magumu ya chi hii hawezi hakapost ujinga kwa kusema chagua chama flani kwa kufuata mkumbo au kupewa maagizo na watu wenye maslahi yao binafsi.

Kwa kupost kitu ambacho hata akijui na wala yeye mwenyewe hana uhakika wa maisha yake ya baadaye dahaaa ni aibu kubwa sana kaa tafakari...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Utatu Huu Umewapendeza Wengi

Naweza sema kwa siku ya leo picha hii ndio iliyopata “comments” na “Likes” nyingi zaidi kuliko picha zote zawaigizaji zilitupiwa leo  mtandaoni. Nipicha inayowajumuisha mastaa watatu ambao ni waigizaji wa filamu maarufu hapa Bongo, amabao ni Kajala,Tausi na Wolper.

Mashakibi wengi wameonekana kivutiwa zaidi na picha hii kwani ndani ya muda mfupi picha hizi zilipata Likes zaidi ya elfu tano na comment zaidi ya mia tatu.

Wote kwapamoja, Kajala na Wolper waliziweke picha hizi kwenye kurasa za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani