Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wewe ni Kijana Chini ya Miaka 40? Ujumbe Huu wa Ray Ukufikie

Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema LIFE BEGINS AT 40. Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na familia yako tayari.. Uwe na kwako tayari siyo umepanga bado.. Uwe na usafiri binafsi.. Uwe na kitu chako cha kukuingizia pesa na si kutegemea ajira peke yake. At 40!

At 40 unatakiwa uwe umeshapata exposure kwa kusafiri huku na kule dunia hii kujua wengine walioendelea zaidi wanaishi vipi na wewe...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe Huu wa Shamsa Ford Ukufikie Ewe Mwanafunzi

Kila mtu anapenda kuwa maarufu haswa wanafunzi kwasababu ndo wanaongoza kunipigia simu kutaka kuwa waigizaji. Lakini ushawahi kujiuliza faida na hasara ya umaarufu? Ili kuwa maarufu si lazima uwe muigizaji au mwanamziki,ukisoma kwa bidii nina uhakika kupitia elimu yako unaweza ukawa maarufu Tanzania nzima au Duniani kote.

Mfano unaweza ukawa Dk maarufu,Mwanasheria maarufu ,Raisi wa nchi,au Rubani maarufu..wewe uliyepata nafasi ya kusoma uzingatie masomo yako faida utaiona baadae...Dunia ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe: Kama Wewe ni Kijana, Monalisa Ana Hili Kwa Ajili Yako

"Kijana,ichunge sana LEO yako.Hujui kESHO utafanya nini au utakuwa nani.KESHO itakapofika watu watakuhukumu kwa JANA yako ambayo ni LEO.Chunga sana LEO yako ndio inayokutengenezea KESHO yako." YVONNE CHERRIE
Roho yangu imenisukuma tu kukuandikia ujumbe huu..pengine nitaokoa LEO ya mtu fulani..Kila la kheri 

Monalisa on Instagram

 

9 years ago

Bongo Movies

Ujumbe Huu wa Ray Umewagusa Wengi

Mkali wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara kadhaa amekuwa akiandika ujumbe mbali mbali kwenyekupitia ukurasa wake mtandaoni kuhusu maisha kwa ujumla.

Ray

Ray

Kila mtu amekuwa akizichukulia jumbe hizo kwa namna anavyofikiria yeye mwenyewe lakini huu wa leo umewakuna wengi.

Ray ameandika;

“Katika maisha unapoamua kuwa na mtu ni kwa maisha yako usihitaji mtu kwa ajili ya watu na usipende kuishi kwa macho ya watu hata shetani alikataa mbingu na Mungu hakuilaani mbingu alimlaani yeye...

 

10 years ago

GPL

KIJANA AMSAKA RAY C AMUOE

Waandishi wetu SIKU chache baada ya nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila, ‘Ray C’ kutangaza anatafuta mchumba, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Ally ‘Babuu’ (21) amejitokeza akisema yeye anataka ndoa na Ray C. Babuu alinaswa na mapaparazi wetu hivi karibuni  Hospitali ya Mwananyamala, Dar Kitengo cha Waathirika wa Madawa ya Kulevya (Methadone) ambapo Ray C hufika kila siku kwa ajili ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KITENDO HIKI CHA ZUA MJADALA HUKO TANZANIA JITIRIRISHE HAPA CHINI NA WEWE UNALA KUSEMA

Kwa wanamichezo ni kama kumpa moyo mchezaji mwenzie au kama pongezi.Hapa ni rais Bush akimpongeza mchezaji wa timu ya taifa ya volleyball ya Marekani.Hapa ni kocha wa timu ya taifa ya CameroonBeki wa Mbeya City Juma Nyosso.Na Waandishi WetuSIKU moja baada ya Gazeti la Championi kutoa picha ya beki wa Mbeya City, Juma Nyosso akionekana kumfanyia ndivyo sivyo straika wa Simba, Elias Maguri, makubwa yameibuka.

Uongozi wa Simba na Maguri wote kwa pamoja wametoa kauli juu ya tukio hilo na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ujumbe: Tutafute Pesa Sio Kusengenyana-Ray

Pesa Ni Sabuni Ya Roho Hata Kama Mdogo Utaitwa Mzee Hata Kama Una Sura Ya Kawaida Utaitwa Handsome Boy Hata Kama Una Roho Mbaya Utaambiwa Una Roho Nzuri . SASA VIJANA WENZANGU TUPAMBANE KUTAFUTA PESA NA C KUSENGENYANA.. (MONEY TALKS)

raythegreatest on instagram

 

 

10 years ago

Vijimambo

Wewe Ni Binti Mrembo Na Unajiamini? Basi Chukua Mchongo Huu



Kuna watu ambao wanavipaji vya hali ya juu katika uigizaji lakini umekuwa ukijiuliza utaonyesha vipi kipaji chako ikiwa ni pamoja na kupata kipato chako kitakachoweza kukufanya uishi na kufanya mambo yako kwa hali nzuri.
Utapata nafasi ya kujulikna na mastaa wengine ambao wao tayari wameshafanikiwa, utaonekana kupitia TV Show hii.
Lakini bado upo kwenye Dilema lakiji huu ndio mchongo wa kuchangamkia kwa sasa!! Swali ni moja tu.....
Wewe ni binti mrembo na unajitambua? Basi tunakuhitaji uwe...

 

10 years ago

Vijimambo

HUU NI UJUMBE WANGU KWAKO

UKITENGENEZA MAISHA YAKO USIMSAHAU Mama, Daima Usimdharau Mama, mpende Mama na umtunze sana Mama. Mvumilie sana kwa mapungufu yoyote yale utakayoyaona kwake, hayupo alie mkamilifu kwa% Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo la Mama, MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwa Mama!. Kitanda chako kilikua miguu yake, Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani