Ujumbe Huu wa Shamsa Ford Ukufikie Ewe Mwanafunzi
Kila mtu anapenda kuwa maarufu haswa wanafunzi kwasababu ndo wanaongoza kunipigia simu kutaka kuwa waigizaji. Lakini ushawahi kujiuliza faida na hasara ya umaarufu? Ili kuwa maarufu si lazima uwe muigizaji au mwanamziki,ukisoma kwa bidii nina uhakika kupitia elimu yako unaweza ukawa maarufu Tanzania nzima au Duniani kote.
Mfano unaweza ukawa Dk maarufu,Mwanasheria maarufu ,Raisi wa nchi,au Rubani maarufu..wewe uliyepata nafasi ya kusoma uzingatie masomo yako faida utaiona baadae...Dunia ya...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Jul
Wewe ni Kijana Chini ya Miaka 40? Ujumbe Huu wa Ray Ukufikie
Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema LIFE BEGINS AT 40. Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na familia yako tayari.. Uwe na kwako tayari siyo umepanga bado.. Uwe na usafiri binafsi.. Uwe na kitu chako cha kukuingizia pesa na si kutegemea ajira peke yake. At 40!
At 40 unatakiwa uwe umeshapata exposure kwa kusafiri huku na kule dunia hii kujua wengine walioendelea zaidi wanaishi vipi na wewe...
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Shamsa Ford:Ungetamani Kuniambia Nini Kabla Mwaka Huu Kuisha
Ikiwa zimebaki siku chache kuumaliza mwaka 2014.Muigizaji wa filamu Shamsa Ford anaetamba mwaka huu kwenye filamu ya CHAUSIKU, amewataka mashabiki wake na wapenzi wa filamu hapa nchini wamshauri chochote kuhusiana na kazi zake na maisha yake ya sanaa kwa ujumla.
Shamsa ambae ni mama wa mtoto mmoja, aliweka picha yake nakuandika;
“Ni kitu gani ungetamani kuniambia kabla ya huu mwaka KUISHA”
Jina la Shamsa Ford, lilijitokeza sana mwaka huu kwenye magazeti ya udaku na mitandaoni baada ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asF*SQblaZ*F6SKKQLmrLlJHCwGXlxdzsjpYEAAlVRQ2jzIB*bWDt-lOZIloh1Ya8CmxijnhaEm4gmch2CuR8RK/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvEdJfuw1v0NazLOQEgFOQYa8GKAq1i6egmaFlfz-A9F3-4qZSGPe50-bHYYVuK2IxcTcoFEDPX9uEsh6GVkU9*-/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Shamsa Ford hana aibu!
Msanii wa filamu, Shamsa Ford.
Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.
Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.
Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsOYm4*bfechRvW-ZTv2j2JBxhUqxGHEitlp*0jJzIQbBhNVlLVvCOfBxAyMUgT-fqjMj-RodrUZ6gjieetY7h1/SHAMSHA.jpg?width=650)
SHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA
10 years ago
Bongo Movies03 Jun
Shamsa Ford Amfunda Aunt Ezekiel
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kumfunda mwezie Aunt Ezekiel juu ya kulinda familia yake. Aunt Ezekiel ambaye amejifungua hivi kalibuni mototo wa kike aliyempa jina la Cookie, alipewa mafunzo hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonesha baba wa mototo wake Moses Iyobo ambaye pia ni dansa wa msaanii wa muziki Diamond Platnum akiwa amekaa pembeni ya mototo wao akimuangalia.
Katika picha hiyo Aunt aliandika maneno”Daddy’s home sio kwa kutaka muda...
10 years ago
GPLSHAMSA FORD ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrNQqP948LddwURh5T81edcovkCwR8Iv0xFsF6wQmcXVC06TYYRX4GgcAJrD6SVFHwR5Y0d2O5YeJ2PutjeIk2hG/SHAMSHA.jpg)
SHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY