Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Migiro ajitosa urais, Sitta kurudisha fomu

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro.WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta wa kwanza kurudisha fomu

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta jana alikamilisha mchakato wa kusaka wadhamini wa maombi yake ya kuwania urais kupitia CCM na leo anatarajia kuwa wa kwanza kurejesha fomu hizo makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatimaye Dk Migiro ajitosa kuwania urais

Hatimaye Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais baada ya kutajwa kwa muda mrefu kuwa na mipango ya kuomba kuingia Ikulu.

 

10 years ago

Vijimambo

WANNE WASHINDWA KURUDISHA FOMU ZA URAIS CCM

Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara Rajab Luhavi
Hatimaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini,


Hatiamaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini, huku...

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR KUMEKUCHA WAGOMBEA WAANZA KURUDISHA FOMU ZA URAIS

(Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Katibu wa Kamati Maalumu ya Idara ya Oganaizesheni ya CCM Zanzibar, Cassian Gallos Nyimbo, wakati aliporudisha fomu hiyo katika Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja, jana. (leo). (Picha na Muhidin Sufiani) (Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kushoto) akisalimiana na Kada wa Chama cha Mapinduzi nje ya Ofisi za...

 

10 years ago

Vijimambo

Urais 2015: Mwanamke wa 5 ajitosa kuchukua fomu CCM


Mwananmke mwingine ambaye ni kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu jana makao makuu ya CCM mkoani Dodoma Ngowi alisema akifanikiwa kuwa rais ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.
Kingine atakachofanya ni kuendeleza mazuri yaliyofanywa na marais waliopita, lakini zaidi akiweka mkazo kwenye masuala ya elimu na kukuza...

 

5 years ago

CCM Blog

MUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mussa Aboud Jumbe, akipokea mkoba wenye fomu za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zazibar, kutoka kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, hapo ofisi ya chama Kisiwandui Mjini Unguja. Mussa ni mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Hayati Aboud Jumbe. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR). 

 

5 years ago

CCM Blog

IDD HAMAD IDD AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Kada wa CCM Idd Hamad Idd nae achukua fomu kuwania urais wa Zanzibar kupitia CCM. Ni mtia nia wa 29

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani