Machinga, bodaboda kuisulubu CCM
WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’, mamantilie, waendesha pikipiki ‘Bodaboda’ na walemavu jijini Dar es Salaam, wameapa kutokipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu mwakani. Wakizungumza kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Wakazi Tabora kuisulubu CCM 2015
BAADHI ya wakazi mkoani hapa, wamesema kutokana na kuporwa viwanja na mashamba yao na Halmashauri ya Manispaa, watakihukumu chama tawala (CCM), kwenye uchaguzi mkuu mwakani kwa kuhamasishana na ndugu zao...
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Bodaboda, machinga wamponza Zungu
MBUNGE wa Ilala, Musa Azan ‘Zungu’ amehojiwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za uchochezi wa kutetea wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na waendesha bodaboda...
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Wafanyakazi, machinga waikana CCM
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano (COTWU T), kimesema hakijaridhishwa na mchakato wa kuwapata wabunge wa viti maalum kupitia kundi la wafanyakazi kwa kuwa mchakato huo ulikuwa wa kificho hivyo hakitambui uteuzi huo.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa COTWU (T), Mathias Mjema alisema wao kama wanachama wameshangazwa na uteuzi wa wabunge Angellah Kairuki (DSM) na Hawa Chakoma (Pwani) kwa kuwa hakukuwa na ushirikishwaji...
9 years ago
Daily News04 Sep
Soft loans for 'machinga' on CCM poll wish list
Daily News
SMALL traders in Dar es Salaam, street hawkers and food vendors, are set to benefit from low interest loans from selected banks in the city. CCM Union presidential running mate Ms Samia Suluhu Hassan said in Charambe when addressing a public rally in ...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex
WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...
9 years ago
Habarileo13 Sep
CCM ikiingia madarakani bodaboda kurasimishwa
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya awamu ya tano, imebainisha kuwa itarasimisha huduma za bodaboda na pikipiki za matairi matatu (bajaj), ili huduma hizo zitambulike kisheria.
9 years ago
Habarileo11 Oct
Wenye bodaboda 500 Ubungo wajiunga CCM
WAENDESHA bodaboda zaidi ya 500 katika Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, wameahidi kuwa wanachama watiifu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kupewa elimu kuhusu nini kilisababisha wao kuzuiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA