Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Tabora kuisulubu CCM 2015

BAADHI ya wakazi mkoani hapa, wamesema kutokana na kuporwa viwanja na mashamba yao na Halmashauri ya Manispaa, watakihukumu chama tawala (CCM), kwenye uchaguzi mkuu mwakani kwa kuhamasishana na ndugu zao...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga, bodaboda kuisulubu CCM

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’, mamantilie, waendesha pikipiki ‘Bodaboda’ na walemavu jijini Dar es Salaam, wameapa kutokipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu mwakani. Wakizungumza kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE ALMAS MAIGE WA TABORA KASKAZINI AFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2015-2020


Jimbo la Tabora Kaskazini ni kati ya Majimbo 12 ya uchaguzi kwa Mkoa wa Tabora, lina Kata 19.

Kwa kuwa mambo mengi yaliyofanywa na Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Almas Athuman Maige katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichompa ridhaa ya kugombea Ubunge na hatimaye kushinda kuwa Mwakilishi wa wana Tabora Kaskazini kwa nafasi ya Ubunge, yeye na timu yake wametumia mda wao kutengeneza au kuandika Taarifa ya utekelezaji huo katika kipindi cha miaka mitano, kuanzia Oktoba 2015...

 

10 years ago

Vijimambo

ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA TABORA

4
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.2
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba,  akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.
3
Mwenyekiti wa Chama cha ACT...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA TABORA WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA FIESTA 2014.

Msanii mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja na Linah.Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.Msanii wa Bongofleva,Kadja akiimba wimbo wake wa Maumivu niache mbele ya maelfu ya wakazi wa Tabora (hawapo pichani) waliofika kwenye tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo. Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel

Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel WAKAZI wa Kijiji cha Kigwang’oko Wilaya ya Ulyankulu,wameipongeza kampuni ya Airtel kwa kuwajengea mnara wa mawasiliano na hivyo kuondokana na tatizo sugu la mawasiliano lililokuwa likiwakabili.  Wakazi hao wamekuwa wakifanya shughuli zao bila ya mawasiliano ya uhakika kwa muda mrefu jambo linalotajwa kukwamisha shughuli nyingi za maendeleo kijijini hapo.  Wanakijiji hao wameeleza kuwa, wamekuwa wakipata tabu...

 

10 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA TABORA


4Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.2Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba,  akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.3Mwenyekiti wa Chama cha...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua

Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.

Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.

 Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

Hatimaye wakazi wa kijiji cha Amani mkoani Tabora kuanzia usiku wa leo watalala bila kero ya kunguni!

Taasisi ya Better Living Aid kupitia kampuni ya Royal Nsyepa General Supplies ambayo mkurugenzi wake ni Bw Mgalula Fundikira za jijini Dar es Salaam leo imepeleka mtaalamu wa upulizaji madawa ya kuuwa wadudu kama kunguni na wengineo katika kijiji cha Amani kilichopo km 6 nje ya mji wa Tabora.  Hatua hiyo ya Better Living Aid ilifuatia ombi toka kwa wakazi wa kijiji hicho chenye wakazi wapatao 70 ambao baadhi yao ni wazee na wenye uathirika wa gonjwa sugu la ukoma, pamoja na changamoto ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani