Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatimaye wakazi wa kijiji cha Amani mkoani Tabora kuanzia usiku wa leo watalala bila kero ya kunguni!

Taasisi ya Better Living Aid kupitia kampuni ya Royal Nsyepa General Supplies ambayo mkurugenzi wake ni Bw Mgalula Fundikira za jijini Dar es Salaam leo imepeleka mtaalamu wa upulizaji madawa ya kuuwa wadudu kama kunguni na wengineo katika kijiji cha Amani kilichopo km 6 nje ya mji wa Tabora.  Hatua hiyo ya Better Living Aid ilifuatia ombi toka kwa wakazi wa kijiji hicho chenye wakazi wapatao 70 ambao baadhi yao ni wazee na wenye uathirika wa gonjwa sugu la ukoma, pamoja na changamoto ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua kijiji cha Mfano cha Vijana Sikonge mkoani Tabora leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa kijiji cha mfano cha vijana Pathfinders Green City katika kata ya Igigwa wilayani Sikonge leo.Rais Kikwete yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ambapo pia atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha mbio za mwenge hapo kesho.watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selenga. Rais...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Kijiji cha Naiyobi Ngorongoro walalamika kero ya maji.

Wakazi wa Kijiji cha Naiyobi wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa maji inayosababisha kukesha kwenye bomba la kijiji kwa takribani siku tatu wakisubiri huduma hiyo.

Wakizungumza na kituo hiki wananchi hao wamesema kwa muda mrefu wamekua wakiteseka kupata huduma za maji huku akinamama wakilazimika kukesha visimani na watoto wadogo wakisubiri maji.

Wanakijiji Daniel Sereki na Rehema Laizer wamekwenda mbali zaidi na kudai kushuhudia tukio la mama mjamzito katika eneo...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel

Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel WAKAZI wa Kijiji cha Kigwang’oko Wilaya ya Ulyankulu,wameipongeza kampuni ya Airtel kwa kuwajengea mnara wa mawasiliano na hivyo kuondokana na tatizo sugu la mawasiliano lililokuwa likiwakabili.  Wakazi hao wamekuwa wakifanya shughuli zao bila ya mawasiliano ya uhakika kwa muda mrefu jambo linalotajwa kukwamisha shughuli nyingi za maendeleo kijijini hapo.  Wanakijiji hao wameeleza kuwa, wamekuwa wakipata tabu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua kijiji cha mfano cha vijana Sikonge mkoani Tabora

unnamed (1)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa kijiji cha mfano cha vijana Pathfinders Green City katika kata ya Igigwa wilayani Sikonge jana.Rais Kikwete yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ambapo pia atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha mbio za Mwenge leo.watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selenga.

unnamed (2)

Rais...

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KIJIJI CHA KABWE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA WAFAIDIKA NA UVUVI WA SAMAKI ZIWA TANGANYIKA

 Baadhi ya akina mama wanaojishughulisha na biashara ya samaki,wakiwa wametoka bandari ya Kabwe,Wilayani Nkasi mkoani Rukwa mapema leo,ambapo dishi moja kama uonavyo pichani huuzwa kati ya shilingi Elfu 30,000/=  Akina mama wakiwa na madishi yao ya samaki,akina mama wengi eneo hilo wameeleza kuwa wanafaidika na biashara hiyo ya samaki kwa kujiingizia kipato na hatimaye kujikwamua na ugumu wa maisha,wameeleza kuwa changamoto yao kubwa ni mitaji ya kutosha ili kuendeleza biashara hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

HATIMAYE MALKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA

Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo kati ya hao mmoja hupatikana na  Marais  waliopita hawapatiwi nafasi ya kugombea tena, na kwamba mama yake na Rais huteuliwa moja kwa moja kuwa Markia wa Kijiji hicho. Malkia Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Elizabeth Masha kutoka Morogoro Tanzania Rais Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Mary...

 

9 years ago

StarTV

Hatimaye kijiji cha Mpago Biharamulo chapatiwa hati ya ardhi

Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka sita baina ya wakala wa huduma za misitu TFS, Serikali ya kijiji cha Kaniha na halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera hatimaye umepatiwa ufumbuzi.

Mgogoro huo ulisababisha baadhi ya miradi ya maendeleo kukwama ikiwemo ujenzi wa shule pekee ya msingi Mpago iliyopo kijijini humo.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Biharamulo Nassib Mbaga wakati akikabidhiwa madarasa mawili na ofisi moja ya shule hiyo...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE MARKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA‏

Markia Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Elizabeth Masha kutoka Morogoro Tanzania. Rais Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Mary Masha kutoka Nchini Kenya   Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo kati ya hao mmoja hupatikana na  Marais  waliopita hawapatiwi nafasi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani