HATIMAYE MARKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ro6h6tX1U84/U2SP0sVbU_I/AAAAAAAAVBI/z2Ei0GCHPYc/s1600/Malkia-Elizabeth-Simon---Morogoro2.jpg?width=600)
Markia Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Elizabeth Masha kutoka Morogoro Tanzania. Rais Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Mary Masha kutoka Nchini Kenya  Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo kati ya hao mmoja hupatikana na Marais waliopita hawapatiwi nafasi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ro6h6tX1U84/U2SP0sVbU_I/AAAAAAAAVBI/z2Ei0GCHPYc/s72-c/Malkia-Elizabeth-Simon---Morogoro2.jpg)
HATIMAYE MALKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ro6h6tX1U84/U2SP0sVbU_I/AAAAAAAAVBI/z2Ei0GCHPYc/s1600/Malkia-Elizabeth-Simon---Morogoro2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Zl7PYy4rptc/U2SQJ8cLLQI/AAAAAAAAVBQ/u1QtQHza-OQ/s1600/Mary-Masha---Kenya.jpg)
11 years ago
GPL![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http://2.bp.blogspot.com/-sfbFuoB50Xc/U3msP5vTDwI/AAAAAAAAVio/X4AboTS2Di4/s1600/10268513_757703050918683_8268843824020390942_n.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime)
HATIMAYE WASHINDI WA MAISHA PLUS NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 WAPATIKANA NA KUONDOKA NA MILIONI 50.
11 years ago
Dewji Blog19 May
Hatimaye washindi wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula 2014 wapatikana na kuondoka na Milioni 50
Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs. Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam.
Mshiriki Boniphace Meng’anyi Nyakena akipokea mfano wa hundi ya Tzshs. Milioni 25 alizoshinda katika msimu huu. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Jane Foster, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila, Babu...
11 years ago
GPLTOP 20 YA 'MAMA SHUJAA WA CHAKULA' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WIKIENDI HII
9 years ago
StarTV16 Nov
Hatimaye kijiji cha Mpago Biharamulo chapatiwa hati ya ardhi
Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka sita baina ya wakala wa huduma za misitu TFS, Serikali ya kijiji cha Kaniha na halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera hatimaye umepatiwa ufumbuzi.
Mgogoro huo ulisababisha baadhi ya miradi ya maendeleo kukwama ikiwemo ujenzi wa shule pekee ya msingi Mpago iliyopo kijijini humo.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Biharamulo Nassib Mbaga wakati akikabidhiwa madarasa mawili na ofisi moja ya shule hiyo...
9 years ago
MichuziRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli Atoa Mkono wa Krismas na Mwaka Mpya kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar.
Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya.
10 years ago
MichuziHatimaye wakazi wa kijiji cha Amani mkoani Tabora kuanzia usiku wa leo watalala bila kero ya kunguni!
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Hatimaye wateule wa Uhamiaji wapatikana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-09C2HfNa7MI/Vlrm4FwmOrI/AAAAAAAII_k/HbxChilFEjY/s72-c/8dd172c3-aef3-4cc7-a8d8-4b88f56ba413.jpg)
HATIMAYE MSIKITI WA KIJIJI CHA MLAMLENI WILAYA YA MKURANGA WAJENGWA UPYA KWA MSAADA WA WASAMARIA WEMA WA NDANIO NA NJE YA NCHI
Asalaam Alaykum Warahmatullahi wabarakatu, Alhamdulilah....
Kwa Niaba ya wakazi wa kijiji cha Mlamleni , kitongoji cha kimbangulie , wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani ninatoa shukran za dhati kwanza Ma Admin wote wa blogs mlioshirikiana nasi katika kulitangaza jambo hili la kheri.
Pili tunawashukuru wale wote wadau ambao wameshirikiana nasi kwa hali na mali katika Ujenzi wa Jengo hili la msikiti kutoka Nyasi Mpaka kuwa katika Muonekano mpya kama mnavyo ona katika...