TOP 20 YA 'MAMA SHUJAA WA CHAKULA' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WIKIENDI HII
GRACE G.D MAHUMBUKA (46) mkazi wa Karagwe Kagera nambari yake ya ushiriki ni MS 08, ni mkulima wa shamba la ekari 18 na na mfugaji wa ng’ombe, kondoo na mbuzi. ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu anawahamasisha wana kijiji kutumia vyema mvua za kwanza na kupanda miti kwa ajili ya…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzitop 20 ya 'Mama Shujaa wa Chakula' watakaoingia kijiji cha Maisha Plus wikiendi hii
Wanawake hao wenye wasifu tofauti tofauti sasa wataingia katika kijiji cha maisha plus kwa muda wa wiki tatu ikiwa ni katika hatua ya kutafuta mshindi wa shindano hilo ambalo linalenga kuhamasisha jamii juu ya kilimo, hifadhi ya chakula na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya...
11 years ago
MichuziMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS
11 years ago
GPLMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO
10 years ago
GPLNJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
10 years ago
GPLTAMASHA KUBWA LA TAARAB 'USIKU WA MSWAHILI' KUFANYIKA IJUMAA HII YA APRILI 24
10 years ago
GPLMBUNGE FILIKUNJOMBE ALAZAMIKA KULALA KATIKA 'PAGALE' AKITEKELEZA AHADI YA UMEME KIJIJI CHA KILONDO
11 years ago
GPLHATIMAYE WASHINDI WA MAISHA PLUS NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 WAPATIKANA NA KUONDOKA NA MILIONI 50.
11 years ago
GPLUZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS, MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 watinga kambini kijiji cha Makumbusho jijini Dar
Bi. Sophia Mkazi na Mwenyeji wa Kijiji cha Kasanga Wilayani Kisalawe Mkoani Pwani akiwakaribisha wageni ambao ni Washiriki wa Shindano la mama shujaa wa Chakula kijijini huko katika sherehe ya iliyofanyika Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es salaam Jana. ambapo Programu mzima itaoneshwa katika Runinga ya ITV kila Siku kuanzia Tarehe 2.08.2015-21.08.2015 kuanzia saa 12 Jioni.
Bw. Godia Kaimu Mwenyekiti wa Kijiji cha Kasanga akiwakaribisha washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula...