TAMASHA KUBWA LA TAARAB 'USIKU WA MSWAHILI' KUFANYIKA IJUMAA HII YA APRILI 24
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/ijumaa-hii.jpg?width=650)
Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la 'Usiku wa Mswahili' kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati, linatarajiwa kufanyika usiku wa Ijumaa ya Aprili 24, katika shule ya Tambaza, iliyopo Ilala jijii Dar es Salaam. "Karibuni katika Usiku wa Mswahili Ijumaa hii ya Aprili 24 ndani ya ukumbi wa Tambaza, kuanzia saa moja usiku. kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Tamasha kubwa la taarab ‘Usiku wa Mswahili’ kufanyika Ijumaa hii ya Aprili 24
Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la ‘Usiku wa Mswahili’ kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati, linatarajiwa kufanyika usiku wa Ijumaa ya Aprili 24, katika shule ya Tambaza, iliyopo Ilala jijii Dar es Salaam.
“Karibuni katika Usiku wa Mswahili Ijumaa hii ya Aprili 24 ndani ya ukumbi wa Tambaza, kuanzia saa moja usiku. kwa kiingilio cha sh 10,000 na sh 20,000 kwa VIP”.
Aidha, mwagwiji...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZeHCwD2fDlCQjntX9BvCdEvnXGHGoGqJm6MVbTJfZ193mYF*vVTx13ss18cCHtuHPRcBmlcFTbp2CdVXz*U3cvO/BillbA3.jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
11 years ago
GPLTOP 20 YA 'MAMA SHUJAA WA CHAKULA' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WIKIENDI HII
11 years ago
GPLIJUMAA WIKIENDA LAWAJAZA 'MAPESA' WASOMAJI WAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-w*FIZbCu5hIbqapEPKmb7M5PmdSJDQXrcy-HWkq2iMRULv68OuX*y7ehNKlj-lb2hWtjIRjhy2RN7NQlmFpf-s/JIKEJEURI.jpg?width=650)
POWER BLACK NYATI 'JIKE JEURI' NDANI YA USIKU WA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPLWEMA SEPETU 'MADAM' AKIWA RED CARPET DAR LIVE USIKU HUU
11 years ago
GPLJAHAZI: UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA' WAFANA DAR LIVE USIKU HUU