Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha kubwa la taarab ‘Usiku wa Mswahili’ kufanyika Ijumaa hii ya Aprili 24

ijumaa hii

Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la ‘Usiku wa Mswahili’  kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati, linatarajiwa kufanyika usiku wa Ijumaa ya Aprili 24, katika shule ya Tambaza, iliyopo Ilala jijii Dar es Salaam.

“Karibuni katika  Usiku wa Mswahili Ijumaa hii ya Aprili 24 ndani ya ukumbi wa Tambaza, kuanzia saa moja usiku. kwa kiingilio cha sh 10,000 na sh 20,000 kwa VIP”.

Aidha, mwagwiji...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAMASHA KUBWA LA TAARAB 'USIKU WA MSWAHILI' KUFANYIKA IJUMAA HII YA APRILI 24‏

Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la 'Usiku wa Mswahili' kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati, linatarajiwa kufanyika usiku wa Ijumaa ya Aprili 24, katika shule ya Tambaza, iliyopo Ilala jijii Dar es Salaam. "Karibuni katika Usiku wa Mswahili Ijumaa hii ya Aprili 24 ndani ya ukumbi wa Tambaza, kuanzia saa moja usiku. kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Old Is Gold wahamia Thai Village - Spice Modern Taarab kuendeleza makali Jumapili hii


NA ANDREW CHALEUSIKU wa ‘Old Is Gold’ na Spice Modern Taarab, unatarajiwa kurindima kwa kishindo Jumapili ya kesho Desemba 7, ndani ya   ukumbi wa Thai Village  uliopo Masaki, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, mwandaaji na mdhamini wa onyesho hilo, mashabiki  wa Old Is Gold  watakuwa wakikutana katika kiota hicho kipya cha burudani kila jumapili kukumbushana enzi.“Kwa kiingilio cha sh 5,000 tu, wadau watafurahia shoo kabambe kutoka kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha kubwa la SHIWATA kufanyika Decemba 25,2014

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) imeandaa tamasha kubwa la kuadhimisha miaka kumi (10) kutoka uanzishwe mwaka 2004 kwa michezo mbalimbali ukiwemo mpambano wa maveterani wa watani wa jadi  Simba na Yanga litakalofanyika kilele cha sherehe hizo uwanja wa Karume,Dar es Salaam Desemba 25,(Krismasi) mwaka huu.
Mwenyekiti wa SHIWATA,  Cassim Taalib alisema katika wiki ya maadhimisho hayo, Desemba 24 sherehe hizo zitatanguliwa na ugawaji wa nyumba 38 zilizojengwa na wanachama wa SHIWATA kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha kubwa la watoto kufanyika Dar May 31 na June 1

Tamasha kubwa la watoto la aina yake linaloitwa ‘Extreme Kids Festival’ litafanyika katika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam, May 31 na June 1 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni. Extreme Kids Festival litapambwa na michezo mbalimbali ya watoto, games, burudani pamoja na semina fupi kwa familia.
Hili ni tamasha kubwa zaidi litakalowakutanisha watoto wengi wa jiji la Dar es Salaam na maeneo ya jirani kufurahia kwa pamoja michezo wanayoipenda zaidi na pia...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA KUBWA LA FILAMU KUFANYIKA JIJINI TANGA

 Meneja masoko wa kinywaji cha GrandMalt Tanzania Fimbo Buttala akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Kebbys Hotel juu ya uzinduzi wa Tamasha la Filamu jijini Tanga kuanzaia jumamosi ya Tarehe 04/10/2014 hadi 08/10/2014 kushoto ni Sinle Mtambalike, Ray Kigosi na kulia ni Rose Ndauka,Shamsa Ford.
  Msanii Rose ndauka akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wao kwenye tamasha kubwa la filamu litakalofanyika jijini Tanga jumamosi ya wiki hii na kuwashirikisha wasanii...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO

 Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan na Kulia ni Afisa Habari wa Karibu Music Festival, Said Hashim.Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mratibu wa Tamsha, Issam Ramadhan
BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI CLUB IJUMAA HII MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE

Karibu tukumbe enzi zile za White House Kimara muziki wa Kamanyola kucheza bila jasho, Marashi ya Pemba, King Kikii na nyingine nyingi enzi za rangi ya chungwa FRIDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, DC THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ LUKE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamasha kubwa la burudani la INSTAGRAM PARTY kufanyika Jumamosi viwanja vya Escape One Mikocheni jijini Dar


Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba.

Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha kubwa la burudani la Instagram Party litakalofanyika Jumamosi katika viwanja vya Escape One Mikocheni likiwa na kauli mbiu Bongo Throw Back. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Krantz Mwantepele.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.

Na Dotto Mwaibale

KAMPUNI ya Freconic...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani