Tamasha kubwa la SHIWATA kufanyika Decemba 25,2014
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) imeandaa tamasha kubwa la kuadhimisha miaka kumi (10) kutoka uanzishwe mwaka 2004 kwa michezo mbalimbali ukiwemo mpambano wa maveterani wa watani wa jadi Simba na Yanga litakalofanyika kilele cha sherehe hizo uwanja wa Karume,Dar es Salaam Desemba 25,(Krismasi) mwaka huu.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema katika wiki ya maadhimisho hayo, Desemba 24 sherehe hizo zitatanguliwa na ugawaji wa nyumba 38 zilizojengwa na wanachama wa SHIWATA kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTamasha kubwa la watoto kufanyika Dar May 31 na June 1
Hili ni tamasha kubwa zaidi litakalowakutanisha watoto wengi wa jiji la Dar es Salaam na maeneo ya jirani kufurahia kwa pamoja michezo wanayoipenda zaidi na pia...
10 years ago
MichuziTAMASHA KUBWA LA FILAMU KUFANYIKA JIJINI TANGA
Msanii Rose ndauka akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wao kwenye tamasha kubwa la filamu litakalofanyika jijini Tanga jumamosi ya wiki hii na kuwashirikisha wasanii...
10 years ago
MichuziTAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO
BOFYA...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Tamasha kubwa la taarab ‘Usiku wa Mswahili’ kufanyika Ijumaa hii ya Aprili 24
Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la ‘Usiku wa Mswahili’ kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati, linatarajiwa kufanyika usiku wa Ijumaa ya Aprili 24, katika shule ya Tambaza, iliyopo Ilala jijii Dar es Salaam.
“Karibuni katika Usiku wa Mswahili Ijumaa hii ya Aprili 24 ndani ya ukumbi wa Tambaza, kuanzia saa moja usiku. kwa kiingilio cha sh 10,000 na sh 20,000 kwa VIP”.
Aidha, mwagwiji...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Tamasha kubwa la burudani la INSTAGRAM PARTY kufanyika Jumamosi viwanja vya Escape One Mikocheni jijini Dar
Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba.
Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha kubwa la burudani la Instagram Party litakalofanyika Jumamosi katika viwanja vya Escape One Mikocheni likiwa na kauli mbiu Bongo Throw Back. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Krantz Mwantepele.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Freconic...
10 years ago
GPL10 years ago
MichuziTAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28-2014 WILAYANI BAGAMOYO
TAASISI ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUba) imeanadaa tamasha la 33 lenye lengo la kukuza mila na desturi za watanzania.
Katika ...
10 years ago
GPLTAMASHA KUBWA LA TAARAB 'USIKU WA MSWAHILI' KUFANYIKA IJUMAA HII YA APRILI 24