SAFARI CLUB IJUMAA HII MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE
Karibu tukumbe enzi zile za White House Kimara muziki wa Kamanyola kucheza bila jasho, Marashi ya Pemba, King Kikii na nyingine nyingi enzi za rangi ya chungwa FRIDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, DC THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ LUKE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSAFARI CLUB LEO IJUMAA MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club
10 years ago
VijimamboSAFARI CLUB KESHO IJUMAA MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club
10 years ago
VijimamboSAFARI CLUB THE NUMBER ONE EAST AFRICAN CLUB KESHO IJUMAA, JUMAMOSI NA SUNDAYS REGGAE PLUS
NO COVER CHARGE
10 years ago
VijimamboKARIBU SAFARI CLUB THE NUMBER ONE EAST AFRICAN CLUB INDMV AREA KILA SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI
NO COVER CHARGE
9 years ago
MichuziFM Academia ‘Wazee wa Ngasuma’ kusherehekea miaka 18 Ijumaa hii
BENDI ya muziki wa Dansi, FM Academia ‘Wazee wa Ngasuma’ Ijumaa hii ya Agosti 21 watafanya sherehe ya kuazimisha miaka 18 tangu kuanzishwa kwake itakayofanyika kwenye Ukumbi wa The Arcade House, uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa Habari jana Rais wa bendi hiyo, Nyoshi El Sadaat, alisema kuwa maandalizi ya sherehe hizo yanaendelea vizuri.
Alisema kuwa siku hiyo itakuwa maalum kwa wapenzi wao kuanzia wa miaka hiyo mpaka sasa maana wataburudisha...
10 years ago
VijimamboCASSIM MGANGA AKA TAJIRI WA MAHABA KUFANYA ONESHO SIKU YA IJUMAA SAFARI CLUB KUWAAGA MASHABIKI WAKE DMV
NO COVER CHARGE
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Tamasha kubwa la taarab ‘Usiku wa Mswahili’ kufanyika Ijumaa hii ya Aprili 24
Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la ‘Usiku wa Mswahili’ kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati, linatarajiwa kufanyika usiku wa Ijumaa ya Aprili 24, katika shule ya Tambaza, iliyopo Ilala jijii Dar es Salaam.
“Karibuni katika Usiku wa Mswahili Ijumaa hii ya Aprili 24 ndani ya ukumbi wa Tambaza, kuanzia saa moja usiku. kwa kiingilio cha sh 10,000 na sh 20,000 kwa VIP”.
Aidha, mwagwiji...
10 years ago
VijimamboDJ SEIF ANAWAALIKA KWENYE BIRTHDAY YAKE JUMAMOSI HII SAFARI CLUB
Kufika kwako ndio kufanikisha Bash hii itakayokufanya kumalizia wiki ya Thanksgiving kwa bash la nguvu ndani ya kiota kinachoongoza Afrika mashariki kilichopo Washington, DC anuani ni 4306 Georgia Av, NW, Washington, DC 20011
KARIBUNI
11 years ago
Dewji Blog16 May
Miss Dar City Centre 2014 Talent Show kutikisha Maisha Club Ijumaa hii
Mratibu wa shindano hilo, Judith Michael akizungumza na wanahabari, pamoja nae ni Mkufunzi wa warembo hao.
Warembo wanaowania taji la Miss Dar City Center 2014 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa Habari hii .
Na Father Kidevu Blog
WANYANGE 20 wanao wania taji la Miss Dar City Center kesho Mei 16 mwaka huu watawasha moto vikali katika ukumbi wa Maisha Club wakati wa shindano lao la Vipaji.
Shindano hilo litaongozwa na wasanii, Rich Mavoko, Bonge la Nyau na TID...