Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FM Academia ‘Wazee wa Ngasuma’ kusherehekea miaka 18 Ijumaa hii

Asha Kigundula
BENDI ya muziki wa Dansi, FM Academia ‘Wazee wa Ngasuma’ Ijumaa hii ya Agosti 21 watafanya sherehe ya kuazimisha miaka 18 tangu kuanzishwa kwake itakayofanyika kwenye Ukumbi wa The Arcade House, uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa Habari jana Rais wa bendi hiyo, Nyoshi El Sadaat, alisema kuwa maandalizi ya sherehe hizo yanaendelea vizuri.
Alisema kuwa siku hiyo itakuwa maalum kwa wapenzi wao kuanzia wa miaka hiyo mpaka sasa maana wataburudisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAMIZ GRAND RESORT INAKULETEA MIAKA 18 YA FM ACADEMIA WAZEE WA NGWASUMA NA NGOMA ZAO MPYA

Tarehe 22 Oktoba, 2015 Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege alipata fursa ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika katika Ikulu ya Kamuzu Palace mjini Lilongwe.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akipigiwa nyimbo za taifa za Malawi na Tanzania huku akishuhudiwa na maafisa Ubalozi.

Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake.Mkuu wa Itifaki Bw. Harvey Chigumula akimtambulisha Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI CLUB IJUMAA HII MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE

Karibu tukumbe enzi zile za White House Kimara muziki wa Kamanyola kucheza bila jasho, Marashi ya Pemba, King Kikii na nyingine nyingi enzi za rangi ya chungwa FRIDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, DC THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ LUKE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya Kale LIVE .Ijumaa hii na kila Ijumaa

Mishumaa ya Kale ni kipindi ambacho kinakuletea muziki wa zamani na maelezo mbalimbali ju ya Muziki huo. Ungana na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja kamili kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST) kupitia Kwanza Production, Vijimambo Radio ama Border Radio

 

10 years ago

Michuzi

FM ACADEMIA "WAZEE WA GWASUMA" KUWASHA MTO WILAYANI HAI KATIKA UZINDUZI WA FLOMENA BAR USIKU WA JUMATATU YA PASAKA

Na Woinde Shizza,Arusha
Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wanatarajiwa kuwasha moto  ndani ya ukumbi mpya wa kisasa  ujulikanao kwa jina la Flomena uliopo  wilayani hai mkoani Kilimanjaro usiku wa jumatatu ya pasaka .


Akizungumza na waandishi wa habari muandaaji wa onyesho hilo  Swaum kileo alisema kuwa ameamua kuwaleta bendi hiyo katika uzinduzi huo ili kuweza kuwafurahisha wananchi wa mkoa wa kilimanjaro na mikoa jirani katika sikukuu hiii ya pasaka.
Alisema kuwa  bendi hii inamda mrefu...

 

10 years ago

Vijimambo

Mishumaa ya Kale...Ijumaa hii na kila Ijumaa

Mishumaa ya Kale ni kipindi ambacho kinakuletea muziki wa zamani na maelezo mbalimbali ju ya Muziki huo. Ungana na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja kamili kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST) kupitia Kwanza Production, Vijimambo Radio ama Border Radio

 

10 years ago

Vijimambo

FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' YAMOTO BAND NA BARBANAS KUWASHA MOTO USIKU WA ONYESHO LA 'USIKU MWEUPE' JIJINI DAR


Na Mwandishi Wetu. FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Yamoto Band na Barbanas, kesho watakuwa na onesho maalum liitwalo 'Usiku Mweupe' litakalofanyika kwenye ukumbi wa Escape One, uliopo mikocheni Dar es Salaam.Mratibu wa onesho hilo Wiliam Malecela, alisema kuwa kila kitu kipo vizuri ambapo onesho hilo litaanza saa 3, usiku.Alisema kuwa dhumuni la kufanya onesho la pamoja kwa bendi hizo na msanii huyo anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya ni kutaka kuuinua muziki wa dansi ambao...

 

11 years ago

Mwananchi

FM Academia; Bendi ya muziki wa dansi wa kizazi kipya iliyokaa kileleni miaka 16

>Kwa miaka 16 mfululizo zikitajwa bendi zinazoshika nafasi tatu juu, huwezi kukosa kuitaja bendi ya FM Academia, bendi iliyoitambulisha Tanzania kwa muziki wa dansi wa kizazi kipya.

 

9 years ago

Mwananchi

Ni aibu kusherehekea miaka 52 ya mapinduzi ya zanzibar na mpasuko wa kisiasa

Zanzibar imo katika Sherehe za Mapinduzi na Januari 12 itatimiza miaka 52 tangu kufanyika kwa mapinduzi hayo yaliyoiondoa madarakani Serikali ya Zanzibar iliyokaa madarakani kwa siku chache. Mapinduzi yalifanyika Januari 12,1964.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani