FM Academia; Bendi ya muziki wa dansi wa kizazi kipya iliyokaa kileleni miaka 16
>Kwa miaka 16 mfululizo zikitajwa bendi zinazoshika nafasi tatu juu, huwezi kukosa kuitaja bendi ya FM Academia, bendi iliyoitambulisha Tanzania kwa muziki wa dansi wa kizazi kipya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Muziki wa kizazi kipya DRC.
Mwanamuziki wa kizazi kipya mashariki mwa Congo ameanzisha kampeni kuinusuru jamii.
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Muziki wa kizazi kipya Tanzania
Wanamuziki walio wengi wa kizazi kipya wamejikita katika nyimbo za mapenzi.
10 years ago
Michuzi
JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO

Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...
5 years ago
Michuzi
Muziki wa kizazi kipya wa Kiswahil na Kikongo watamba nchini Sweden
Sehemu ya show ya muziki wa Kiswahili na Kikongo huko mjini Linköping Sweden kwenye wiki ya Swedesh Melody festival
11 years ago
Michuzi29 Sep
11 years ago
Michuzi16 Jun
KITOKOLOLO RAPA WA FM ACADEMIA AHAMIA BENDI YA MASHUJAA


11 years ago
GPL
FM ACADEMIA KUDONDOSHA KITU KIPYA
Na Musa Mateja
BENDI ya FM Academia inatarajia kuachia albamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Chuki ya nini? ikiwa ni albamu ya 10 tangu bendi hiyo ilipoanzishwa. Prezidaa wa FM Academia, Nyoshi El-Saadat (kulia) akiimba. Pembeni ni msanii mwenzake. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, prezidaa wa bendi hiyo, Nyoshi El-Saadat, alisema kimya chao cha miaka minne kina msindo mkuu na kwamba, Jumamosi hii watafunga mwaka kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania