Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FM ACADEMIA KUDONDOSHA KITU KIPYA

Na Musa Mateja
BENDI ya FM Academia inatarajia kuachia albamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Chuki ya nini? ikiwa ni albamu ya 10 tangu bendi hiyo ilipoanzishwa. Prezidaa wa FM Academia, Nyoshi El-Saadat (kulia) akiimba. Pembeni ni msanii mwenzake. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, prezidaa wa bendi hiyo, Nyoshi El-Saadat, alisema kimya chao cha miaka minne kina msindo mkuu na kwamba, Jumamosi hii watafunga mwaka kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANAMUZIKI FM ACADEMIA AFANYIWA KITU MBAYA

Na Shakoor Jongo
DUNIA kweli haina huruma! Kitendo alichofanyiwa  mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia ya jijini Dar  anayejulikana kwa jina moja la Flora alfajiri ya kuamkia Desemba 8, mwaka huu ni kibaya katika jamii ya Kitanzania. Flora akiwa hajitambui. Flora akiwa amepata kinywaji ili kuchangamsha mwili wake alijikuta akipigwa na vijana wawili wanaofanya kazi ya kuendesha Bajaj akiwa amewakodi kwa ajili ya kurudi...

 

11 years ago

Mwananchi

FM Academia; Bendi ya muziki wa dansi wa kizazi kipya iliyokaa kileleni miaka 16

>Kwa miaka 16 mfululizo zikitajwa bendi zinazoshika nafasi tatu juu, huwezi kukosa kuitaja bendi ya FM Academia, bendi iliyoitambulisha Tanzania kwa muziki wa dansi wa kizazi kipya.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

GOOGLE WAJA NA KITU KIPYA, WATENGENEZA MAGARI YANAYOJIENDESHA YENYEWE

Gari linalotembea bila kuwa na dereva kutoka kampuni ya Google. Kampuni ya Teknologia ya Google imetengeneza magari yanayojiendesha yenyewe.
Kampuni hiyo ambayo imejijengea sifa kwa njia ya kipekee ya utendaji kazi wake katika sekta ya kiteknolojia imekuwa ikikarabati magari ya kawaida. Lina uwezo wa kumpeleka abiria bila kuwa na dereva. Gari hilo la kiteknolojia halitakuwa na usukani.
Google imesambaza picha ya gari...

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee: Mko tayari kwa kitu kipya Nov. 28?

Ni single mpya na video mpya! Hilo ndio jibu la alilouliza Lady Jaydee kwa mashabiki wake kwenye ukurasa wa Facebook; Are you ready for something new?! How about November 28th?! Stay tuned.” Picha na Osse Sinare Akiongea na East Africa Radio hivi karibuni, Lady Jaydee aliutaja wimbo mpya atakaoutoa mwishoni mwa mwezi huu. “Mwezi wa […]

 

10 years ago

Vijimambo

Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing

Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam BlessingNakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam BlessingNakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam BlessingNakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam BlessingNakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing MSANII wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12). Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha,...

 

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu apania kuiteka Bongo kwa kitu hiki kipya!

Wema Sepetu akionyesha Lipstick

Baada ya kuzindua lipstick zake, Kiss By Wema Sepetu, malkia huyo filamu nchini, amepanga kuingiza sokoni perfume yake pamoja na bidhaa zingine za urembo.

Wema Sepetu akionyesha Lipstick

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema apost picha yake na kuandika:

I think this should be my colour ya lipstick wen it comes to my brand Kiss. Naipenda coz it just makes me feel good nikiipaka…. For a very long time nimekuwa nikitaka sana kuwa na kitu kitacho carry jina langu la Wema Sepetu… I thought of perfume at first ila huko...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani