Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12). Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL09 Oct
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Nakaaya azindua albamu ya Blessing
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nakaaya Sumari alikonga nyoyo za mashabiki wake wakati wa uzinduzi wa albam yake ya pili iitwayo ‘Blessing’ ambayo ameitoa kama zawadi kwa mtoto wake....
10 years ago
CloudsFM10 Oct
NAKAAYA AZINDUA ALBAM YAKE IITWAYO BRESSING
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12).
Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro. Huku akiungwa mkono na wasanii wenzake kutoka hapa hapa nchini na nje ya nchi.
Uzinduzi huo ulipambwa na burudani kabambe kutoka kwa Hisia, G Nako, Jambo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDO27kDaBb61zFTC2aA6D5ODlMdCvP2wa-B6JjKfoYkpNNLniLA7xB-kf7Zw9WdHt6S5HfjZGiZnk1WStHx21qAq/FM.jpg?width=650)
FM ACADEMIA KUDONDOSHA KITU KIPYA
11 years ago
Michuzi11 Apr
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JLUXV5pDZ3a7R9jIXFmCO688apsIAg9ku-b1EWEtMsKjyejEpFGU9yo7aG1FyXHQYh2sT6iveBdn4K0bmmf-5ph/1.jpg)
GOOGLE WAJA NA KITU KIPYA, WATENGENEZA MAGARI YANAYOJIENDESHA YENYEWE
10 years ago
Bongo507 Nov
Lady Jaydee: Mko tayari kwa kitu kipya Nov. 28?
9 years ago
Bongo508 Dec
Wema Sepetu apania kuiteka Bongo kwa kitu hiki kipya!
![Wema Sepetu akionyesha Lipstick](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Wema-Sepetu-akionyesha-Lipstick-300x194.jpg)
Baada ya kuzindua lipstick zake, Kiss By Wema Sepetu, malkia huyo filamu nchini, amepanga kuingiza sokoni perfume yake pamoja na bidhaa zingine za urembo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema apost picha yake na kuandika:
I think this should be my colour ya lipstick wen it comes to my brand Kiss. Naipenda coz it just makes me feel good nikiipaka…. For a very long time nimekuwa nikitaka sana kuwa na kitu kitacho carry jina langu la Wema Sepetu… I thought of perfume at first ila huko...
10 years ago
Dewji Blog11 Jul