NAKAAYA AZINDUA ALBAM YAKE IITWAYO BRESSING
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12).
Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro. Huku akiungwa mkono na wasanii wenzake kutoka hapa hapa nchini na nje ya nchi.
Uzinduzi huo ulipambwa na burudani kabambe kutoka kwa Hisia, G Nako, Jambo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Oct
Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing
![Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_20140919_1339121.jpg)
![Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/download.jpg)
![Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01203.jpg)
![Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01209.jpg)
![Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01212.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Nakaaya azindua albamu ya Blessing
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nakaaya Sumari alikonga nyoyo za mashabiki wake wakati wa uzinduzi wa albam yake ya pili iitwayo ‘Blessing’ ambayo ameitoa kama zawadi kwa mtoto wake....
11 years ago
Dewji Blog04 Aug
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye azindua Albam ya “Shikilia Pindo la Yesu” ya Rose
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inayoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likihudhuriwa na maelefu ya washabiki wa muziki wa injili, ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki katika uzindzi huo wakiwemo Ephraim Sekereti Kutoka Zambia, Sara K. kutoka Kenya , Upendo Kilahiro, Upendo Nkone John Lisu na...
11 years ago
CloudsFM22 Jul
TID KUACHIA ALBAM YAKE YA SABA
Staa nguli kwenye game ya Bongo Fleva,Khalid Mohammed ‘TID’ hivi karibuni anaachia album yake ya saba ila kabla hajaachia albam hiyo atafanya bonge la party pande za Dar Live, Mbagala,Jijini Dar. Albam yake ya Zeze ndiyo ilikuwa ya kwanza ikafuatia Sauti Ya Dhahabu,Burudani,Jembe,Sifai, na mwaka 2009 akaachia Prison Voice, baada ya hapo alikaa kimya zaidi ya miaka minne na mwaka huu anaiachia alabam yake ya saba iitwayo ‘Mnyama na Wanyama the album’.
Tid anafunguka kwanini album hii...
10 years ago
CloudsFM20 Nov
DIAMOND AACHIA AUDIO&VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO NTAMPATA WAPI
Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI YA KUSAMBAZA FILAMU YAKE IITWAYO "NITADUMU NAE"
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo
Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.
Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...
10 years ago
VijimamboMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO