TID KUACHIA ALBAM YAKE YA SABA
Staa nguli kwenye game ya Bongo Fleva,Khalid Mohammed ‘TID’ hivi karibuni anaachia album yake ya saba ila kabla hajaachia albam hiyo atafanya bonge la party pande za Dar Live, Mbagala,Jijini Dar. Albam yake ya Zeze ndiyo ilikuwa ya kwanza ikafuatia Sauti Ya Dhahabu,Burudani,Jembe,Sifai, na mwaka 2009 akaachia Prison Voice, baada ya hapo alikaa kimya zaidi ya miaka minne na mwaka huu anaiachia alabam yake ya saba iitwayo ‘Mnyama na Wanyama the album’.
Tid anafunguka kwanini album hii...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Sep
Lollipop kuachia albam mpya ‘Ipo Siku’
10 years ago
CloudsFM12 Dec
Stara Thomas afanya mahojiano na kipindi cha Leo Tena,kuachia albam ya ngoma zake za zamani
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva,Stara Thomas akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena leo amezungumzia mambo mengi kuhusu muziki wake pia anatarajia kuachia albamu yake ya nyimbo zake zote za zamani hivi karibuni.
Stara akifanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena,Husna Abdul.
11 years ago
Mwananchi09 Aug
TID: Naleta albamu ya saba
11 years ago
CloudsFM10 Oct
NAKAAYA AZINDUA ALBAM YAKE IITWAYO BRESSING
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12).
Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro. Huku akiungwa mkono na wasanii wenzake kutoka hapa hapa nchini na nje ya nchi.
Uzinduzi huo ulipambwa na burudani kabambe kutoka kwa Hisia, G Nako, Jambo...
11 years ago
Bongo520 Jul
Eid 2: TID kumdondosha Naziz kwenye ‘listening party’ ya album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Goodluck kuachia albamu yake leo
NA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa muziki wa Injili nchini, Goodluck Gozbert, leo anatarajia kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia albamu ya kwanza inayoitwa ‘Ipo Siku’, mara baada ya kimya kirefu.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Goodluck alisema sababu zilizo nje ya uwezo wake zilifanya aicheleweshe albamu hiyo, lakini anatarajia atawafurahisha mashabiki wake kwa kutoa albamu yenye nyimbo zilizobeba ujumbe mzito kwa watu wote.
“Ni albamu nzuri kuisikiliza, ina nyimbo za kutia moyo kwa...
9 years ago
Bongo509 Nov
One The Incredible kuachia album yake mpya

Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.
One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.
“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...