Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


One The Incredible kuachia album yake mpya

One Incredible

Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.

One Incredible

One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.

“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’

Baada ya rapper Tyga kuitupia lawama label yake ya Young Money (YMCMB) hivi karibuni kuwa inambania album yake kutoka, rapper huyo ametumia Twitter kutangaza tarehe ya kutoka album yake inayoitwa “The Gold Album” ambayo sasa itatoka mwezi ujao. Kupitia Twitter Tyga ameandika sasa album hiyo itatoka siku mbili kabla ya sikukuu ya Christmas Dec 23. […]

 

10 years ago

Bongo5

One the Incredible kuzindua album yake mpya, R.A.P

Rapper One the Incredible anatarajia kufanya uzinduzi wa album yake mpya iitwayo R.A.P utakaofanyika viwanja vya posta, December 5. One ameiambia Bongo5 kuwa uzinduzi huo, utafunguliwa na kilinge ambacho kitaaza saa kumi jioni kabla ya kuanza kwa shughuli hiyo ya uzinduzi. Katika uzindizi huo kiingilio kitakuwa ni shilingi 10,000 bila album na 15,000 kwa backstage […]

 

9 years ago

Bongo5

Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’

Mwenyekiti wa label ya HKN records inayomsimamia Davido, Adewale Adeleke ambaye pia ni kaka yake ametangaza tarehe mpya ya kuachia album mpya ya star huyo wa Nigeria, ‘Baddest’ baada ya kushidwa kutoka mwezi September kama ilivyopangwa awali. Album hiyo ambayo imekuwa ikipangwa kuachiwa na kuahirishwa mara tatu, sasa itatoka Jumamosi ya October 10, 2015. Mastaa […]

 

10 years ago

Bongo5

Ne-Yo kuachia album yake mpya ‘Non Fiction’ January, 2015

Mwimbaji wa R&B na mwandishi wa hit songs nyingi za mastaa wakubwa, Ne-yo ameitaja tarehe ya kuachia album yake mpya aliyoipa jina la ‘Non Fiction’. Baada ya kuahirisha mara kadhaa sasa album ya sita ya Ne-Yo inatarajiwa kutoka January 27, 2015 ikiwa ni takriban miaka mitatu toka atoe album yake ya mwisho ‘R.E.D’ mwaka 2012. […]

 

9 years ago

Bongo5

Chris Brown atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘Royalty’

Chris Brown tayari ameweka wazi tarehe ya kuachia album yake mpya aliyoipa jina la mwanaye ‘Royalty’ ambayo imepangwa kutoka rasmi November 27, 2015. Taarifa za album hiyo zimetolewa kupitia kipindi cha ‘Nessa and Camilo’. Nyimbo zilizoishasikika kutoka kwenye album hiyo ni ‘Liquor’ pamoja na ‘Zero’. Sina shaka ‘Royalty’ haitakumbwa na mikosi kama album yake iliyopita […]

 

9 years ago

Bongo5

Davido abadili mawazo ya kuachia album yake ya mpya ‘Baddest’ hadi mwakani

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido amebadili mawazo ya kuachia album yake mpya dakika za mwisho. Davido na Wizkid ni kama wanategeana kuachia album zao! Kwasababu kila mmoja amekua akisogeza tarehe mbele kila inapokaribia tarehe ambayo alitangaza. Davido aliahidi kuwa album yake mpya ‘Baddest’ ingetoka mwezi wa 10 baada ya kuahirisha mara kadhaa, na Wizkid […]

 

9 years ago

Bongo5

Hemedy PHD aahidi kuachia album yake ya kwanza ‘VIRGO’ February mwakani

Hemedy PHD amesema kuwa anatarajia kuachia album yake ya kwanza ifikapo mwezi February mwakani 2016. Muimbaji huyo ambaye pia ni muigizaji wa filamu, amesema album yake hiyo ya muziki itaitwa ‘Virgo’ na itakuwa na jumla ya nyimbo 18. Hiki ndicho ameandika kupitia Instagram; “INSHALLAH FEBRUARY 2016 MY VERY FIRST MUSIC ALBUM WILL BE OUT!THE ALBUM […]

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid kuachia album mpya aliyowashirikisha Tyga, Akon na Wale

Star wa Nigeria, Wizkid ameshare cover ya album yake mpya anayotarajia kuiachia. Album hiyo ameiita jina lale halisi ‘Ayo’ ikimaanisha furaha (Joy). Jina kamili la mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ni Ayodeji Ibrahim Balogun. Katika album hiyo yenye nyimbo 18 na wimbo mmoja wa ziada (bonus), amewashirikisha wasanii mbalimbali wa Nigeria pamoja na […]

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid aahirisha tena kuachia album mpya mpaka mwakani (2016)!

Mashabiki wa Wizkid waliokuwa wakisubiri kwa hamu album mpya ya staa huyo ambayo ilipangwa kutoka Septemba, watalazimika kuvuta tena subira hadi mwakani 2016. Wizkid ametangaza kuahirisha kutoa album yake ya 3 mwezi huu (Septemba), baada ya kuhudhuria sherehe ya siku ya kuzaliwa ya 2Face Idibia aliyefikisha miaka 40. Amesema amegundua bado ana kazi kubwa anayotakiwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani