Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Goodluck kuachia albamu yake leo

goodNA CHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa Injili nchini, Goodluck Gozbert, leo anatarajia kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia albamu ya kwanza inayoitwa ‘Ipo Siku’, mara baada ya kimya kirefu.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Goodluck alisema sababu zilizo nje ya uwezo wake zilifanya aicheleweshe albamu hiyo, lakini anatarajia atawafurahisha mashabiki wake kwa kutoa albamu yenye nyimbo zilizobeba ujumbe mzito kwa watu wote.

“Ni albamu nzuri kuisikiliza, ina nyimbo za kutia moyo kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO ALALAMIKIA WEZI WA KAZI ZA WASANII,KUACHIA ALBAMU YAKE HALISI JUMAPILI

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka Jumapili. Taarifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa Muhando jana, ilieleza kuwa albamu yake halisi bado haijaingia mtaani na kwamba hiyo wanayoiona wananchi sasa ni bandia na mtu atakayewauzia wamripoti polisi. “Albamu ya Kamata Pindo...

 

9 years ago

Mtanzania

FRANK KIKUNGWE kuachia albamu kesho

NA CHRISTOPHER MSEKENA

MWANAMUZIKI wa muziki wa Injili nchini, Frank Kikungwe anatarajia kuachia albamu yake ya kwanza inayoitwa ‘Nimeuona Mkono wa Bwana’ kesho katika Kanisa la KKKT, Usharika wa Kimara, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Swaggaz, Kikungwe alisema, albamu hiyo ina jumla ya nyimbo nane za kumsifu na kumuabudu Mungu ambazo zimejaa mafundisho katika maisha ya wanadamu.

“Baada ya misa ya kwanza kumalizika ndipo onyesho la uzinduzi litakapoanza, watu wote wanakaribishwa...

 

10 years ago

GPL

MWIMBA INJILI ATEKWA AKISAMBAZA ALBAMU YAKE

Na Mwandishi Wetu/Uwazi
MWIMBA Injili anayekuja kwa kasi Bongo, Elizabeth Ngaiza, Jumamosi iliyopita alijikuta katika wakati mgumu kufuatia watu wasiojulikana kumuweka chini ya ulinzi kwa dakika kadhaa wakitaka awape pesa ndani ya gari aina ya Toyota Vitz (pichani juu). Mwimba Injili anayekuja kwa kasi Bongo, Elizabeth Ngaiza. Kwa mujibu wa Elizabeth mwenyewe, tukio hilo lilijiri Babarara ya Kilwa, Dar maeneo ya Mivinjeni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ed O’Brien azindua Albamu yake kwa jina 'Earth'

Ikiwa dunia nzima inaendelea kupambana na janga la virusi vya Corona Mmoja wa wanabendi wa kundi la mziki maarufu la Radiohead, Ed O'Brien amezindua alabamu yake ya Earth.

 

10 years ago

Michuzi

BERDON MNYAMA KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE ITWAYO JIONEE.

Usiku wa jionee katika uzinduzi wa albamu ya msanii machachari katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya afaamikae kwa jina la Berdon Mnyama juu pichani hivi karibuni katika uzinduzi wa albamu yake iendayo kwa jina la jionee, shoo nzima ilisimamishwa vyema na Radio station zote za jiji la Mbeya ikiwemo Mbeya fm, Sweet Fm, Bomba Fm, Lock Fm, Highland Fm, Dreem Fm na zingine nyingi sambamba mh.Sambee Shitambala na Michuzi Media Group.Picha Zote na Mr.Pengo. baadhi ya wadau na wapenzi...

 

5 years ago

Bongo5

Barakah The Prince aeleza kuhusu ujio wa albamu yake mpya

Msanii wa muziki kutoka RockStar4000, Barakah The Prince amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwaajili ya ujio wa albamu yake ya kwanza.

Muimbaji huyo amesema albamu hiyo huwenda ikatoka katikati ya mwaka huu au mwisho wa mwaka kutegemea na maandalizi na uwamuzi wa label yake.

“Albamu yangu ya kwanza inatoka chini ya RockStar4000 na itatoka mwaka huu katikati au mwishoni,” Barakah The Prince alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.

Alisema kila msanii wa label hiyo ana...

 

10 years ago

Michuzi

Mwanamuziki Tarsis Masela kuzindua albamu yake ya kwanza Novemba 21

MWANAMUZIKI wa muziki wa daansi, Tarsis Masela (mwenye miwani), anatarajia kufanya uzinduzi wa albamu yake ya kwanza iitwayo Acha Hizo utakaofanyika Novemba 21 kwenye Ukumbi wa Ten Lounge (zamani Business Park) ulioko  Dar es Salaam.
Akizungumza na wanahabari jijini dar leo Masela, ambaye pia ni mwanamuziki na Rais wa bendi ya Akudo, alisema kuwa albamu hiyo itakuwa na nyimbo saba na zina ujumbe mbalimbali ambao unalenga kuelimisha jamii.
Masela alizitaja nyimbo zilizoko katika albamu hiyo...

 

5 years ago

Bongo5

Muimbaji wa ‘Amarula’ amemtaja msanii wa Bongo atakayesikika kwenye albamu yake

Msanii Roberto kutoka Zambia amemtaja msanii wa Bongo Fleva, ambaye atasikika kwenye albamu yake mpya.

Muimbaji huyo ambaye amewahi kufanya vizuri kupitia wimbo wake wa Amarula, amemtaja msanii huyo kuwa ni Vanessa Mdee.

“Kuna nyimbo 12 kwenye albamu yangu mpya, pamoja na nyimbo mbili za ziada, hivyo jumla ni 14. Nimewashirikisha wasanii kama Patoranking (Nigeria), Vanessa Mdee (Tanzania), Dammy Krane (Nigeria), Jay Rox (Zambia), kundi la BrathaHood, General Ozzy, Mandela na Young Rico,”...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani