Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BERDON MNYAMA KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE ITWAYO JIONEE.

Usiku wa jionee katika uzinduzi wa albamu ya msanii machachari katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya afaamikae kwa jina la Berdon Mnyama juu pichani hivi karibuni katika uzinduzi wa albamu yake iendayo kwa jina la jionee, shoo nzima ilisimamishwa vyema na Radio station zote za jiji la Mbeya ikiwemo Mbeya fm, Sweet Fm, Bomba Fm, Lock Fm, Highland Fm, Dreem Fm na zingine nyingi sambamba mh.Sambee Shitambala na Michuzi Media Group.Picha Zote na Mr.Pengo. baadhi ya wadau na wapenzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AMIN AFUNIKA DAR LIVE KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya 'Bongo Fleva', Amin Mwinyimkuu 'Amin', akitoa burudani usiku huu ndani ya Dar Live katika uzinduzi wa albamu ya Extra Bongo iitwayo 'MTENDA AKITENDEWA'…

 

11 years ago

GPL

LINAH NA AMIN KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO DAR LIVE

Wasanii Linah na Amin wakipagawisha katika uzinduzi wa albamu ya Extra Bongo 'Mtenda akitendwa' ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakheem jijini Dar Jumamosi iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Albamu ya injili Dallas, Texas, Marekani

Karibu katika uzinduzi wa Albamu ya injili kesho ktk kanisa la Umoja la Dallas, Texas, Marekani.Mtumishi wa Mungu kaka Morris Swai ambae ni mtoto wa mchungaji Ragate Swai wa Kinondoni Assemblies (TZ)atazindua Albamu yake ya kwanza.Morriss anaishi Houston Texas kwa sasa.Karibuni wote bila kukosa. Ps.Absalom-Umoja Church.

 

10 years ago

Michuzi

MAASKOFU WABARIKI UZINDUZI WA ALBAMU YA BONNY MWAITEGE

indexVIONGOZI wa dini wakiwemo Maaskofu na Wachungaji wa Makanisa mbalimbali hapa nchini wamebariki uzinduzi wa albamu tatu za mwimbaji mahiri wa muziki wa Injili hapa nchini Bonny Mwaitege, unaotarajia kufanyika Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama sababu za viongozi hao wa dini kutoa baraka kwa albamu hizo ni kutokana na umahiri wa muimbaji huyo.
Msama alisema amepokea baraka hizo kutoka kwa viongozi...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO: RED CARPET YA DAR LIVE!

Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo. Amini akishoo Love na Linah (kushsoto) pamoja na mwimbaji wake.…

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA ALBAMU LEO: EXTRA BONGOK KUFUNIKA DAR LIVE

...Titi , Super Nyamwela na Sharapova wakionyesha mbwembwe zao kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani