Uzinduzi wa Albamu ya injili Dallas, Texas, Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZYtHi2K7y2A/Vcalmju9m6I/AAAAAAAHvZg/LLFWtRTwsbs/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
Karibu katika uzinduzi wa Albamu ya injili kesho ktk kanisa la Umoja la Dallas, Texas, Marekani.Mtumishi wa Mungu kaka Morris Swai ambae ni mtoto wa mchungaji Ragate Swai wa Kinondoni Assemblies (TZ)atazindua Albamu yake ya kwanza.Morriss anaishi Houston Texas kwa sasa.Karibuni wote bila kukosa. Ps.Absalom-Umoja Church.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B_gBIAJLuqA/U-BUu2JudvI/AAAAAAAF9M8/SUDRY5nY0_I/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-83824McVjRY/VZ1y-M8ndhI/AAAAAAADw8U/_FbIZvLFnKM/s72-c/LUKA%2B%25283%2529.jpg)
UKODAK MOMENT DALLAS, TEXAS
![](http://3.bp.blogspot.com/-83824McVjRY/VZ1y-M8ndhI/AAAAAAADw8U/_FbIZvLFnKM/s640/LUKA%2B%25283%2529.jpg)
Mshereheshaji Sunday Simba Shomari aka Triple S (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mpwa ndani ya mgahawa wa Hotel ya Westin iliyopo mtaa wa Legacy Dr. jijini Dallas jimbo la Texas siku ya Jumapili July 5, 2015 wakipata kifungua kinywa baada ya kazi nzito ya kusherehesha na kuburudisha sherehe ya harusi ya Sandra na George iliyofanyika mjini humo siku ya Jumamosi July 4, 2015.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-yIsLTLt_Qcg/VZyVattG7UI/AAAAAAADw58/Opvatnh3NLk/s72-c/d1c1733852dda3f64dc0c4e3ebbe8f29%2B%25282%2529.jpg)
PICHA YA PAMOJA NDANI YA DALLAS, TEXAS
![](http://1.bp.blogspot.com/-yIsLTLt_Qcg/VZyVattG7UI/AAAAAAADw58/Opvatnh3NLk/s640/d1c1733852dda3f64dc0c4e3ebbe8f29%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboNDOA YA SUSAN NA GEORGE DALLAS, TEXAS
Hapa ndipo palipofungiwa ndoa ya Sandra na George ndani ya Hotel ya Westin iliyopo Dallas, Texas siku ya Jumamosi July 4th, 2015 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia.
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA HARUSI YA SANDRA NA GEORGE DALLAS, TEXAS.
10 years ago
VijimamboVIJIMAMBO YAKUTANA NA WADAU WAKE DALLAS, TEXAS
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SK31esGO5gU/VaauTZKEswI/AAAAAAAHp-4/yPXBc7nCR4o/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboKANISA LA UMOJA DALLAS TEXAS - JULAI 19, 2015
10 years ago
Michuzi05 Feb
TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI KATIKA JIJI LA DALLAS-TEXAS
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania