Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE YA HARUSI YA SANDRA NA GEORGE DALLAS, TEXAS.

Maharusi wakiwa meza kuu wakipata picha ya kumbukumbu na mmoja ya mtoto wao siku ya sherehe ya harusi yao iliyofanyika katika hoteli ya Westin iliyopo mtaa Legacy Dr. Dallas, Texas siku ya Jumamosi July 4, 2015 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia.Wapambe wa Bwna na Bi harusi.WasimamiziWasimamiziWasimamiziFor More photos Click Soma Zaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

NDOA YA SUSAN NA GEORGE DALLAS, TEXAS


Hapa ndipo palipofungiwa ndoa ya Sandra na George ndani ya Hotel ya Westin iliyopo Dallas, Texas siku ya Jumamosi July 4th, 2015 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia. Bwana harusi George (kulia0 akiwa na mmoja ya wasimamizi wake wakihakikisha wanacho cheti cha ndoa hii ilikua kabla ya ndoa yake na Sandra haijafungwa. Katikati ni Alvin kaka ya Bi. harusi akimkabidhi Sandra kwa George ikiwa ni ishara ya Alvin kwa niaba ya familia kuridhia dada yake kuolewa na...

 

9 years ago

Vijimambo

WILLY MWAMBALASWA AFANYIWA SHEREHE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA DALLAS, TEXAS

Willy Mwambalaswa akikata keki yake siku ya kuzaliwa sherehe iliyofanyika siku ya Jumamosi Septemba 19, 2015 jijini Dallas, Texas.Marafiki wa karibu waliomfanyia Willy tafrijaMarafiki wakijumuika na birthday boy huku wakipata picha ya pamoja.



 

10 years ago

Vijimambo

UKODAK MOMENT DALLAS, TEXAS


Mshereheshaji Sunday Simba Shomari aka Triple S (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mpwa ndani ya mgahawa wa Hotel ya Westin iliyopo mtaa wa Legacy Dr. jijini Dallas jimbo la Texas siku ya Jumapili July 5, 2015 wakipata kifungua kinywa baada ya kazi nzito ya kusherehesha na kuburudisha sherehe ya harusi ya Sandra na George iliyofanyika mjini humo siku ya Jumamosi July 4, 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA PAMOJA NDANI YA DALLAS, TEXAS

Gloria Padmore akiwa katika picha ya pamoja na Mpwa siku ya Jumamosi July 4, 2015 jijini Dallas Gloria alipokutana na Mpwa kwenye harusi ya Sandra na George

 

10 years ago

Vijimambo

VIJIMAMBO YAKUTANA NA WADAU WAKE DALLAS, TEXAS

 Kutoka kushoto ni Tom, Wolfgang, Kichai na Dj Luke wakiwa Afrika Fusion wakipata menyu ni kilaji kwenye July 4th weekend jijini Dallas, Texas. Ben Kazora akiwa na Dj Luke wakipata picha ya pamoja. Wadau wa Dallas wakiwa kwenye nyama choma kama walivyokutwa na camera ya Vijimambo ambayo wiki hii ipo Dallas, Texas. Mdau wa Vijimambo akipata picha ya kumbukumbu
 Wadau wakiwa Africa Fusion wakipata ukodak ndani ya mgahawa huo.. Mdau kutoka California aakipata picha ya upendeleo. Wadau wa Dallas...

 

10 years ago

Vijimambo

KANISA LA UMOJA DALLAS TEXAS - JULAI 19, 2015

Waumini wa Umoja Church Dallas TX  wakiwa katika picha ya pamoja Jumapili ya July 19, 2015 Kanisa la Umoja Dallas, Texas Marekani linazidi kukua. Jumapili, Julai 19, mgeni rasmi aliyealikwa kutoka Tanzania Pastor Dr. Danel Moses Kulola alihubiri. Wengi walinufaika na mafundisho yake. Baada ya ibada Van mpya ya Kanisa hilo ilibarikiwa. Gari hili litatumika kuwasafirisha wale ambao hawana usafiri. Mkutano wa Usharika umeamua kuanzisha kanisa pale mjini Houston Texas mwishoni mwa mwezi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Albamu ya injili Dallas, Texas, Marekani

Karibu katika uzinduzi wa Albamu ya injili kesho ktk kanisa la Umoja la Dallas, Texas, Marekani.Mtumishi wa Mungu kaka Morris Swai ambae ni mtoto wa mchungaji Ragate Swai wa Kinondoni Assemblies (TZ)atazindua Albamu yake ya kwanza.Morriss anaishi Houston Texas kwa sasa.Karibuni wote bila kukosa. Ps.Absalom-Umoja Church.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani