NDOA YA SUSAN NA GEORGE DALLAS, TEXAS
Hapa ndipo palipofungiwa ndoa ya Sandra na George ndani ya Hotel ya Westin iliyopo Dallas, Texas siku ya Jumamosi July 4th, 2015 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia. Bwana harusi George (kulia0 akiwa na mmoja ya wasimamizi wake wakihakikisha wanacho cheti cha ndoa hii ilikua kabla ya ndoa yake na Sandra haijafungwa.
Katikati ni Alvin kaka ya Bi. harusi akimkabidhi Sandra kwa George ikiwa ni ishara ya Alvin kwa niaba ya familia kuridhia dada yake kuolewa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA HARUSI YA SANDRA NA GEORGE DALLAS, TEXAS.
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo
UKODAK MOMENT DALLAS, TEXAS

Mshereheshaji Sunday Simba Shomari aka Triple S (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mpwa ndani ya mgahawa wa Hotel ya Westin iliyopo mtaa wa Legacy Dr. jijini Dallas jimbo la Texas siku ya Jumapili July 5, 2015 wakipata kifungua kinywa baada ya kazi nzito ya kusherehesha na kuburudisha sherehe ya harusi ya Sandra na George iliyofanyika mjini humo siku ya Jumamosi July 4, 2015.
10 years ago
Vijimambo
PICHA YA PAMOJA NDANI YA DALLAS, TEXAS

10 years ago
Michuzi
Uzinduzi wa Albamu ya injili Dallas, Texas, Marekani

10 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboVIJIMAMBO YAKUTANA NA WADAU WAKE DALLAS, TEXAS
10 years ago
VijimamboKANISA LA UMOJA DALLAS TEXAS - JULAI 19, 2015
10 years ago
Michuzi05 Feb
TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI KATIKA JIJI LA DALLAS-TEXAS