KANISA LA UMOJA DALLAS TEXAS - JULAI 19, 2015
Waumini wa Umoja Church Dallas TX wakiwa katika picha ya pamoja Jumapili ya July 19, 2015
Kanisa la Umoja Dallas, Texas Marekani linazidi kukua. Jumapili, Julai 19, mgeni rasmi aliyealikwa kutoka Tanzania Pastor Dr. Danel Moses Kulola alihubiri. Wengi walinufaika na mafundisho yake. Baada ya ibada Van mpya ya Kanisa hilo ilibarikiwa. Gari hili litatumika kuwasafirisha wale ambao hawana usafiri. Mkutano wa Usharika umeamua kuanzisha kanisa pale mjini Houston Texas mwishoni mwa mwezi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SK31esGO5gU/VaauTZKEswI/AAAAAAAHp-4/yPXBc7nCR4o/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-83824McVjRY/VZ1y-M8ndhI/AAAAAAADw8U/_FbIZvLFnKM/s72-c/LUKA%2B%25283%2529.jpg)
UKODAK MOMENT DALLAS, TEXAS
![](http://3.bp.blogspot.com/-83824McVjRY/VZ1y-M8ndhI/AAAAAAADw8U/_FbIZvLFnKM/s640/LUKA%2B%25283%2529.jpg)
Mshereheshaji Sunday Simba Shomari aka Triple S (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mpwa ndani ya mgahawa wa Hotel ya Westin iliyopo mtaa wa Legacy Dr. jijini Dallas jimbo la Texas siku ya Jumapili July 5, 2015 wakipata kifungua kinywa baada ya kazi nzito ya kusherehesha na kuburudisha sherehe ya harusi ya Sandra na George iliyofanyika mjini humo siku ya Jumamosi July 4, 2015.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-yIsLTLt_Qcg/VZyVattG7UI/AAAAAAADw58/Opvatnh3NLk/s72-c/d1c1733852dda3f64dc0c4e3ebbe8f29%2B%25282%2529.jpg)
PICHA YA PAMOJA NDANI YA DALLAS, TEXAS
![](http://1.bp.blogspot.com/-yIsLTLt_Qcg/VZyVattG7UI/AAAAAAADw58/Opvatnh3NLk/s640/d1c1733852dda3f64dc0c4e3ebbe8f29%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboNDOA YA SUSAN NA GEORGE DALLAS, TEXAS
Hapa ndipo palipofungiwa ndoa ya Sandra na George ndani ya Hotel ya Westin iliyopo Dallas, Texas siku ya Jumamosi July 4th, 2015 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZYtHi2K7y2A/Vcalmju9m6I/AAAAAAAHvZg/LLFWtRTwsbs/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
Uzinduzi wa Albamu ya injili Dallas, Texas, Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZYtHi2K7y2A/Vcalmju9m6I/AAAAAAAHvZg/LLFWtRTwsbs/s640/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA HARUSI YA SANDRA NA GEORGE DALLAS, TEXAS.
10 years ago
VijimamboVIJIMAMBO YAKUTANA NA WADAU WAKE DALLAS, TEXAS
10 years ago
Michuzi05 Feb
TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI KATIKA JIJI LA DALLAS-TEXAS
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B_gBIAJLuqA/U-BUu2JudvI/AAAAAAAF9M8/SUDRY5nY0_I/s72-c/unnamed.jpg)