Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FRANK KIKUNGWE kuachia albamu kesho

NA CHRISTOPHER MSEKENA

MWANAMUZIKI wa muziki wa Injili nchini, Frank Kikungwe anatarajia kuachia albamu yake ya kwanza inayoitwa ‘Nimeuona Mkono wa Bwana’ kesho katika Kanisa la KKKT, Usharika wa Kimara, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Swaggaz, Kikungwe alisema, albamu hiyo ina jumla ya nyimbo nane za kumsifu na kumuabudu Mungu ambazo zimejaa mafundisho katika maisha ya wanadamu.

“Baada ya misa ya kwanza kumalizika ndipo onyesho la uzinduzi litakapoanza, watu wote wanakaribishwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Goodluck kuachia albamu yake leo

goodNA CHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa muziki wa Injili nchini, Goodluck Gozbert, leo anatarajia kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia albamu ya kwanza inayoitwa ‘Ipo Siku’, mara baada ya kimya kirefu.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Goodluck alisema sababu zilizo nje ya uwezo wake zilifanya aicheleweshe albamu hiyo, lakini anatarajia atawafurahisha mashabiki wake kwa kutoa albamu yenye nyimbo zilizobeba ujumbe mzito kwa watu wote.

“Ni albamu nzuri kuisikiliza, ina nyimbo za kutia moyo kwa...

 

11 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO ALALAMIKIA WEZI WA KAZI ZA WASANII,KUACHIA ALBAMU YAKE HALISI JUMAPILI

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka Jumapili. Taarifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa Muhando jana, ilieleza kuwa albamu yake halisi bado haijaingia mtaani na kwamba hiyo wanayoiona wananchi sasa ni bandia na mtu atakayewauzia wamripoti polisi. “Albamu ya Kamata Pindo...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA ALBAMU KESHO: EXTRA BONGO WAAHIDI KUFUNIKA DAR LIVE

Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choky, akizungumzia uzinduzi huo ndani ya hoteli ya Atriums iliyopo Afrika Sana, Sinza . Mratibu wa Burudani Dar Live, Luqman Maloto, akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Choky na Hamis…

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA ALBAMU TATU ZA MWAITEGE NI KESHO UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE, WAIMBAJI WATAKAO MSINDIKIZA WATAMBULISHWA

 Boniface Mwaitege, atakaye zindua albamu zake tatu hapo kesho. Faustine Munishi, mmoja wa waimbaji wa injili atakayetoa burudani.Upendo Kilahiro, atatumbuiza.
Jesca Maguba (BN), atatumbiza
Atosha Kissava, atatumbuiza. Mwimbaji wa nyimbo za injili, Boniface Mwaitege (katikati), akiimbaji sanjari na waimbaji wenzake wakati wakitambulishwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi. Waimbaji hao kesho watatoa burudani wakati wakimsindikiza mwimbaji mwenzao Boniface Mwaitege katika...

 

9 years ago

Bongo5

Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25

Roma Mkatoliki ameamua kuchukua jukumu la kwenda Baraza La Sanaa Tanzania, BASATA kuwasikilizisha wimbo wake mpya anaotarajia kuuachia Jumapili siku ya uchaguzi Oct.25 ili waupe baraka kuepuka kufungiwa. Uamuzi huo umekuja kutokana na misukosuko aliyokutana nayo baada ya kutoa wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ hivi karibuni, ambao BASATA waliufungia kutokana na madai kuwa hakuna […]

 

10 years ago

Vijimambo

DEADLINE NI KESHO ....MWISHO WA KUNUNUA TICKET ZA DISCOUNT KWA $75 NI KESHO ,BAADA YA KESHO ZITAKUWA $100.

           NUNUA YAKO SASA INGIA..    WWW.DIAMONDUSATOUR.COM AU PIGA 3016616207 NOW.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani