Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barakah The Prince aeleza kuhusu ujio wa albamu yake mpya

Msanii wa muziki kutoka RockStar4000, Barakah The Prince amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwaajili ya ujio wa albamu yake ya kwanza.

Muimbaji huyo amesema albamu hiyo huwenda ikatoka katikati ya mwaka huu au mwisho wa mwaka kutegemea na maandalizi na uwamuzi wa label yake.

“Albamu yangu ya kwanza inatoka chini ya RockStar4000 na itatoka mwaka huu katikati au mwishoni,” Barakah The Prince alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.

Alisema kila msanii wa label hiyo ana...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Barakah Da Prince kujenga maktaba

barakahNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, ameamua kurudisha fadhila kwa kujenga maktaba ya kisasa, katika shule ya msingi aliyowahi kusoma inayoitwa Pamba iliyopo mkoani Mwanza.

Barakah alisema atatoa sehemu ya fedha zake zinazotokana na kazi yake ya muziki kwa ajili ya ujenzi wa maktaba hiyo na pia atafanya marekebisho madogo madogo kwenye majengo ya shule hiyo.

“Nimepata mafanikio kwenye muziki japo si mengi lakini nilichonacho nitakipeleka...

 

11 years ago

Michuzi

introducing BARAKAH Da PRINCE na ' JICHUNGE'

Hi,   Leo ndio tumeachia rasmi audio ya wimbo wa BARAKAH Da PRINCE (msanii mpya kutoka Tetemesha Entertainment), baada ya kutoa video yake wiki iliyopita. Wimbo unaitwa Jichunge na umefanywa katika studio ya Tetemesha chini ya maproducer wawili KidBoy na producer mpya anaitwa Nusder. Tunaomba support yako kadri utakavyoweza.   ARTIST NAME: BARAKAH Da PRINCE  SONG TITLE: JICHUNGE  WRITTEN BY: BARAKAH & KIDBOY  PRODUCED BY KIDBOY & NUSDER  MIXED BY: KIDBOY  MASTERED BY: MISJAH @24MASTERING...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Barakah Da Prince — Siachani Nawe

Barakah Da Prince ameachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Siachani Nawe’. Ngoma imetayarishwa na maproducer watatu, Nusder, Lollipop na Kidboy. Wimbo umeandikwa na Lollypop.

 

10 years ago

Bongo5

Music: Qstar Ft. Barakah da Prince — Nimekosa

Wimbo mpya wa Mwanadada Qstar unaitwa “Nimekosa” amemshirikisha Barakah da Prince Studio Burn Record Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Barakah Da Prince — Siachani Nawe

Video mpya ya wimbo wa Barakah Da Prince ‘Siachani Nawe’ iliyoongozwa na Khalfan. Ngoma imetayarishwa kwa ushirikiano wa watayarishaji watatu, Nasder, Lollipop na Kidboy.

 

10 years ago

Bongo5

Barakah Da Prince: Nimejipanga kuendelea kufanya vizuri

Muimbaji anayefanya vizuri kwenye muziki, Barakah Da Prince amesema yeye na menejimenti yake Tetemesha amejipanga vizuri kuhakikisha anaendelea kufanya vizuri. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni katika show ya miaka 10 ya THT iliyofanyikia Escape 1, Barakah alisema yupo makini na atajitahidi kufanya kile kinachohitajika kwenye muziki wa sasa ili aendelee kufanya vyema zaidi. “Mimi najiitaga […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani