Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stara Thomas afanya mahojiano na kipindi cha Leo Tena,kuachia albam ya ngoma zake za zamani

Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva,Stara Thomas akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena leo amezungumzia mambo mengi kuhusu muziki wake pia anatarajia kuachia albamu yake ya nyimbo zake zote za zamani hivi karibuni.Stara akifanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena,Husna Abdul.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani

Matonya amesema sababu kubwa iliyomfanya apotee kwenye muziki na nyimbo zake za sasa kutofanya vyema kama mwanzo ni kukosa uongozi mzuri wa kumsimamia. Matonya ameambia Bongo5 kuwa muziki wa sasa hivi upo tafauti na ule wa zamani uliokuwa hauhitaji mambo mengi kama muziki wa sasa. “Tatizo kubwa kadri siku zinapozidi kwenda wasanii tunazidi kuwa wengi, […]

 

10 years ago

GPL

STARA THOMAS AFUMANIWA!

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Risasi
HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzikazti alinusa kwenye gospo ‘ikamshinda', Stara Thomas anadaiwa kufumaniwa na mumewe, Raumu Ally mpaka kufikishana polisi, Risasi Jumamosi halipitwagi na ‘ubuyu’. Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe. Kwa mujibu wa shuhuda wa kuaminika, tukio hili lilijiri hivi karibuni nyumbani kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''

Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Kumbe Wastara na Stara Thomas ni Ndugu!

Staa wa Bongo Movies  Wastara Juma leo kupitia ukutrasa wake mtandaoni ametoboa kuwa staa wa Bongo Fleva Wastara Thomas ni ndugu kitu ambacho hata yeye mwenye kimemshangaza.

Wastara alibandika picha hiyo hapo juu ana kuiandikia maelezo haya.

Wastara wa 4,  bibi Stara, mama Stara, dada Stara, mdogo Stara, ilo ndilo jina langu halisi nililopewa na bibi yangu huyu hapo mzaa mama usishangae kumuona Stara tomath hata mimi nilisahangaa jina ilo kalipata wapi lakini maswali yameisha leo baada...

 

10 years ago

GPL

STARA THOMAS AMKATIKIA MAUNO MZEE CHILLO

Na Gabriel Ng’osha/Ijumaa
MWANAMUZIKI Stara Thomas juzikati aliwaacha watu hoi kwa kicheko pale alipoamua kumkatikia mauno Mzee Chillo walipokuwa wakicheza muziki. Mwanamuziki Stara Thomas akikata mauno mbele ya Mzee Chillo. Tukio hilo lililonogesha shughuli lilijiri kwenye uzinduzi wa kitabu cha marehemu Steven Kanumba kilichopewa jina la The Great Follen Tree uliofanyika ndani ya Hoteli ya Landmark, Ubungo jijini Dar....

 

10 years ago

CloudsFM

Stara Thomas akana kufumaniwa na mpenzi wake

Aliyekuwa mwimbaji muziki wa gospel na baadaye kurudi kwenye Bongo Fleva,Stara Thomas amekana habari zilizoenea hivi karibuni kuwa amefumaniwa na mpenzi wake nyumbani kwake. Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa mwanamke kama yeye hawezi kufumaniwa na kwamba mpenzi wake wa sasa kinachomsumbua ni wivu wa kimapenzi bila kumtaja jina mpenzi wake huyo wa sasa.
Aidha ameongeza kuwa hayuko tayari zungumzia suala hilo kwa sasa ndiyo maana amekaa kimya tangu habari hizo zitoke...

 

10 years ago

GPL

BARUA NZITO STARA THOMAS JITATHMINI UPYA

KWAKO mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva, Stara Thomas. Bila shaka ni mzima wa afya na unaendelea na mishimishe zako maana najua una mambo mengi, muziki wa kidunia na ule wa kiroho. Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.
Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni...

 

10 years ago

CloudsFM

Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini

Msanii wa Bongo Fleva,Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini,wasanii wengine waliokuwepo ni Kajala,Shamsa Ford,Mwasiti na wengineo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani