Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini

Msanii wa Bongo Fleva,Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini,wasanii wengine waliokuwepo ni Kajala,Shamsa Ford,Mwasiti na wengineo.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS LTD YAMWAGA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA, YALAANI MAUAJI YA ALBINO YANAYOENDELEA NCHINI

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Halima Ramadhan Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo Tegeta jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni moja ya misaada inayotolewa katika vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima wakati wa msimu huu wa maadalizi ya Tamasha la Pasaka linalotimiza miaka 15 tangu lianzishwe.
Msama amekabidhi misaada hiyo kwa vituo vitano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Alex Msama amwaga misaada kwa vituo vya watoto yatima, alaani mauaji ya Albino yanayoendelea nchini

1

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Halima Ramadhan Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwadaliwa kilichopo Tegeta jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni moja ya misaada inayotolewa katika vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima wakati wa msimu huu wa maadalizi ya Tamasha la Pasaka linalotimiza miaka 15 tangu lianzishwe.

Tamasha hilo Litafanyika jijini Dar es salaam Aprili 7...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama na Keisha Mzigoni Kupinga Mauaji ya Albino!!

Takribani kwa wiki mzima sasa Staa wa Bongo Movies, Riyama amekuwa akitoa ujumbe mzito akiitaka  jamii kuacha na kupinga mauaji huku akisisitiza upendo kwa ndugu zetu mwenye ulemavu wa ngozi  (Albinos)  kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.

Siku ya jana  Riyama alibandika picha hiyo hapo juu akiwa na mwanamziki Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi na kuandika kuwa wapo kazini, kitu ambacho mashabiki wake wengi  walijiongeza kuwa Riyama  na Keisha watakuwa Lokeshani wakitengeneza...

 

11 years ago

GPL

MAALIM HASSAN HUSSEIN ATINGA GLOBAL, AFUNGUKA KUHUSU MATUKIO YANAYOENDELEA NCHINI

Maalim Hassan Hussein akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers. Mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein leo ametembelea ofisi za Global Publishers na kufunguka kuhusu matukio yanayoendelea nchini hasa kuhusu vifo vya wasanii.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yalaani mauaji ya wafugaji na wakulima yanayoendelea nchini

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelaani mauaji ya wakulima na wafugaji yanayoendelea kutokea katika wilaya za Kiteto na Kongwa na kutaka Serikali ichukue hatua za haraka kukomesha mauaji hayo.

 

10 years ago

CloudsFM

Stara Thomas afanya mahojiano na kipindi cha Leo Tena,kuachia albam ya ngoma zake za zamani

Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva,Stara Thomas akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena leo amezungumzia mambo mengi kuhusu muziki wake pia anatarajia kuachia albamu yake ya nyimbo zake zote za zamani hivi karibuni.Stara akifanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena,Husna Abdul.

 

10 years ago

Michuzi

WaTanzania wa Houston Texas kurekodi kipindi kuhusu mauaji ya Albino Tanzania

Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza kutoa pongezi kwa Watanzania Houston kwa jitihada zao za kupambana na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi Pia inaandaa kipindi cha video kuongelea hili swala kwa mapana zaidi na kuangalia jinsi gani ya kukomesha mauaji haya ambayo yanaleta fedheha na aibu  ikiwemo ukiukaji wa haki za binadamu.
Kipindi kitarekodiwa siku ya Jumampili saa 8 mchana (2pm) mahali ni Extended Stay America chumba namba 224 anuani ni 2424 West...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani