Kajala, Mwasiti, Linah, Irene Uwoya, Wolper, Shilole,Keisha wameachia hii single mpya ya kutokomeza mauaji ya Albino
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Apr
Chakujifunza Kutoka kwa Wolper, Kajala na Irene Uwoya
Kama ulikuwa hujui basi nakuhabarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel. Hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini, marehemu kanumba. Bifu hilo lilifikia pabaya ambapo mastaa hao walirushiana maneno makali kwenye mitandao kila mmoja akimshtumu mwenzie kumuibia bwana ake, bifu hilo lilidumu kwa mda mrefu, lakini sasa ivi mastaa hao wameshibana na kuishi kama ndugu, ya...
10 years ago
GPL
KAJALA KUTOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
Bongo Movies09 Mar
Riyama na Keisha Mzigoni Kupinga Mauaji ya Albino!!
Takribani kwa wiki mzima sasa Staa wa Bongo Movies, Riyama amekuwa akitoa ujumbe mzito akiitaka jamii kuacha na kupinga mauaji huku akisisitiza upendo kwa ndugu zetu mwenye ulemavu wa ngozi (Albinos) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.
Siku ya jana Riyama alibandika picha hiyo hapo juu akiwa na mwanamziki Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi na kuandika kuwa wapo kazini, kitu ambacho mashabiki wake wengi walijiongeza kuwa Riyama na Keisha watakuwa Lokeshani wakitengeneza...
10 years ago
GPLBALOZI AJIPANGA KUTOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO
9 years ago
Bongo Movies21 Nov
Irene Uwoya Arudi Mzigoni na Kutoa Fursa Hii
Baada ya mikikimikiki ya uchaguzi kuisha, Staa mrembo wa Bongo Movies ambate alikuwa akiwania nasi ya Ubunge kupitia viti maalum , Irene Uwoya amerudi tena kwenye fani yake na sasa yupo kwenye maadalizi ya kazi yake mpya.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram Uwoya ameandika
"Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawahi kuigiza! kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…swali la...
9 years ago
Bongo521 Nov
Irene Uwoya kurejea kwenye movie kwa style hii

Irene Uwoya amerudi rasmi katika filamu baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi ambapo ametangaza deal kwa vijana wapya katika filamu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Irene ameandika:
Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawah kuigiza!kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…..swali la kwanza!ntajie wasaniii watatu wanao kuvutia na kwanin?
10 years ago
CloudsFM23 Feb
Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini
Msanii wa Bongo Fleva,Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini,wasanii wengine waliokuwepo ni Kajala,Shamsa Ford,Mwasiti na wengineo.