Irene Uwoya Arudi Mzigoni na Kutoa Fursa Hii
Baada ya mikikimikiki ya uchaguzi kuisha, Staa mrembo wa Bongo Movies ambate alikuwa akiwania nasi ya Ubunge kupitia viti maalum , Irene Uwoya amerudi tena kwenye fani yake na sasa yupo kwenye maadalizi ya kazi yake mpya.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram Uwoya ameandika
"Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawahi kuigiza! kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…swali la...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Nov
Irene Uwoya kurejea kwenye movie kwa style hii
![11352128_823123387807063_106497935_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11352128_823123387807063_106497935_n-300x194.jpg)
Irene Uwoya amerudi rasmi katika filamu baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi ambapo ametangaza deal kwa vijana wapya katika filamu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Irene ameandika:
Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawah kuigiza!kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…..swali la kwanza!ntajie wasaniii watatu wanao kuvutia na kwanin?
10 years ago
Vijimambo25 Feb
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Picha: Arudi Mzigoni
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amerudi tena mbele ya kamera baada ya kuadimika kwa miezi kadhaa. Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Lulu ame-share nasi picha akiwa yupo lokesheni akishoot filamu na kuandika kuwa amerudi kufanya kazi.
Mashabiki wengi wa filamu walionyesha ku-miss sana mwanadada huyu ambae kipajichake cha kuigiza niling’ara tangu utotoni, kwani ni takribani miezi saba imepita tangu kazi yake ya mwisho “MAPENZI YA MUNGU” ambapo moja kati ya washiriki katika...
10 years ago
Bongo Movies10 May
Ukistaajabu Ile Tattoo ‘Shishi baby’ kwa Mziwanda Jionee Hii ya ‘Irene Uwoya’ kwa Vjaymapenzi!
Katika hali ya kuonyesha hisia zake kwa staa wa bongo movies, Irene Uwoya kijana anayejiita Vjaymapenzi amejichora tattoo yenye jina la staa huyo mkononi na kufunguka haya mtandaoni.
“Itatokea kwa iman yenye uvumilivu wa wazi maana unaeza jizuia kwenda haja lakini sio kujizuia kumpenda mtu alitunukiwa ndani ya moyo wako na nafsi ikamkubali...ni rahisi sana kuwa tayara kwa lolote sababu chaguo la moyo ni chaguo la furaha na faraja ya maisha...kumpenda Irene Uwoya ni ugonjwa wangu na sijui...
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Picha: Lulu Arudi Mzigoni Baada ya Kuadimika
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa muda sasa hajaonekana mbele ya kamera za kurekodi movies, leo kupitia ukurasa wake mtandaoni ame-share nasi picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni waki-shoot Movie huku akionekana mwenye nguvu na furaha.
“Back to Work...Doing wat I always Do Best..! On Set", Lulu aliandika kwenye picha hiyo.
Hongera saba Lulu kwa kurudi kazini, mashabiki wako naamni wamefarijika na hii
10 years ago
Bongo Movies15 May
Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Mzigoni Akiwa na JB
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya inayokwenda kwa jina la Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen 'JB' wakiwa 'lokesheni'.
Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.
Jionee kipande cha kazi hiyo HAPA