Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Arudi Mzigoni

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amerudi tena mbele ya kamera baada ya kuadimika kwa miezi kadhaa. Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Lulu ame-share nasi picha akiwa yupo lokesheni akishoot filamu na kuandika kuwa amerudi kufanya kazi.

Mashabiki wengi wa filamu walionyesha ku-miss sana mwanadada huyu ambae kipajichake cha kuigiza niling’ara tangu utotoni, kwani ni takribani miezi saba imepita tangu kazi yake ya mwisho “MAPENZI YA MUNGU” ambapo moja kati ya washiriki katika...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Lulu Arudi Mzigoni Baada ya Kuadimika

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa muda sasa hajaonekana mbele ya kamera za kurekodi movies, leo kupitia ukurasa wake mtandaoni  ame-share nasi picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni  waki-shoot Movie huku akionekana mwenye nguvu na furaha.

  “Back to Work...Doing wat I always Do Best..! On Set", Lulu aliandika kwenye picha hiyo.

Hongera saba Lulu kwa kurudi kazini, mashabiki wako naamni wamefarijika na hii

 

9 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Arudi Mzigoni na Kutoa Fursa Hii

Baada ya mikikimikiki ya uchaguzi kuisha, Staa mrembo wa Bongo Movies ambate alikuwa akiwania nasi ya Ubunge kupitia viti maalum , Irene Uwoya amerudi tena kwenye fani yake na sasa yupo kwenye maadalizi ya kazi yake mpya.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram Uwoya ameandika

"Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawahi kuigiza! kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…swali la...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Mzigoni Akiwa na JB

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya  inayokwenda kwa jina la  Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen  'JB' wakiwa 'lokesheni'.

Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.

Jionee kipande cha kazi hiyo  HAPA

 

 

10 years ago

Bongo Movies

Baadhi ya picha za D.A.D, Wema na Van Vicker Mzigoni

Hizi ni baadhi ya picha za ndani ya movie mpya ya mwigizaji Wema Sepetu “Madam”akishirikiana na wigizaji wa Ghana, Van Vicker inayoitwa Day After Death (D.A.D).

Madam ametua leo hapa Bongo akitokea nchini Ghana ambako kazi hii imefanyika kule.

Tusubiri mzigo wenyewe!!!.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Riyama Akiwa Mzigoni ‘Akishuti’ Kazi Yake Mpya

Hizi ni baadhi ya picha za mkali wa bongo movies, Riyama Ally alizo-share nasi kupitia ukurasa wake mtandaoni  zikimuonyesha akiwa anashoot filamu yake mpya.

“Naipenda sana kazi yangu Mungu ibariki...”Riyama aliandika kwenye picha hiyo hapo juu.

Hongera kwa kazi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amini mzigoni Januari 6

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Amin Mwinyimkuu ‘Amin’ amesema Januari 6 mwakani anaanza kushuti video ya ngoma yake ya ‘Usinipe Robo’...

 

11 years ago

GPL

EXTRA BONGO MZIGONI

Choki akiimba kwa mbwembwe huku amekaa. Mnenguaji wa Extra Bongo, Super Nyamwela akiwa amepozi na mdau wa burudani, John Dotto. Choki na vijana wake wakiwa…

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama na Keisha Mzigoni Kupinga Mauaji ya Albino!!

Takribani kwa wiki mzima sasa Staa wa Bongo Movies, Riyama amekuwa akitoa ujumbe mzito akiitaka  jamii kuacha na kupinga mauaji huku akisisitiza upendo kwa ndugu zetu mwenye ulemavu wa ngozi  (Albinos)  kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.

Siku ya jana  Riyama alibandika picha hiyo hapo juu akiwa na mwanamziki Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi na kuandika kuwa wapo kazini, kitu ambacho mashabiki wake wengi  walijiongeza kuwa Riyama  na Keisha watakuwa Lokeshani wakitengeneza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani