Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI AJIPANGA KUTOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Henry Mdimu (katikati anayezungumza) akitoa ufafanuzi wa namna ya kutoa elimu juu ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi 'Albino' huku kushoto akiwa ni Mratibu wa Fedha na Udhamini wa Imetosha, Monica Joseph na Masoud Kipanya ambaye naye ni mmoja wa wakilishi wa Imetosha.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAJALA KUTOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Na IMELDA MTEMA/Uwazi STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja kupitia kampuni yake ya Kay Intertainment, ameamua kuungana na mastaa kibao Bongo katika kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’ yaliokithiri hivi sasa. Kajala akiwa na wasanii wenzake. Akichezesha taya na Uwazi, Kajala na timu yake nzima wameunda kitu kinachoitwa ‘Simama Nami’ ambapo tayari wameshatunga wimbo wa pamoja...

 

9 years ago

Vijimambo

Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi


Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi...

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

GPL

TUUNGANE KUTOKOMEZA UKATILI WANAOFANYIWA NDUGU ZETU ALBINO

Elnest Mangu. Hakika Mungu ni wa ajabu kwa sababu anatupenda wote bila ubaguzi, hivyo hatunabudi kumhimidi milele. Baada ya kusema hayo niseme wazi kwamba leo napenda nizungumzie suala la kuhuzunisha la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, wengine huwaita Maalbino. Hili suala linasikitisha sana licha ya ukweli kwamba limekuwa likipigiwa kelele kila kukicha lakini hatua zinazochukuliwa hazina uzito ukilinganisha na tatizo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Nyalandu akabidhiwa magari ya kusaidia kampeni ya kutokomeza Majangili wa mauaji ya Tembo

1

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la siku mbili la kudhibiti Ujangili na kutokomeza mauaji dhidi ya Tembo

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana Mei 9, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la  Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo linatarajia kumalizika leo. (Picha na OMR).

4

 Washiriki wa Kongamano hilo, wakisimama kumkaribisha mgeni rasmi Makamu...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU MBILI LA KUDHIBITI UJANGILI NA KUTOKOMEZA MAUAJI DHIDI YA TEMBO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, asalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam leo Mei 9, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo linatarajia kumalizika kesho.
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani