Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi
Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Vita dhidi ya mauaji ya Albino TZ
10 years ago
StarTV09 Jan
Mapambano dhidi ya mauaji ya Albino, UN yahimiza uwajibikaji.
Na Rogers Wilium na Maliganya Charahani,
Mwanza.
Shirika la Umoja wa Mataifa UN limesema mauaji ya Albino, vitendo vya ukatili wa kijinsia na tatizo la watoto wa mitaani nchini T anzania yanaweza kutatuliwa kwa uwajibikaji wa mamlaka na idara zote nchini.
Hoja hiyo inakuja katika ziara ya Mkurugenzi mkazi wa Shirika hilo Alvaro Rodriguez aliyoifanya kwenye mikoa ya Mwanza, Mara na Shinyanga na kujionea changamoto hizo kwa ujumla.
Mikoa ya kanda ya Ziwa bado inakumbana na tatizo la...
10 years ago
GPLBALOZI AJIPANGA KUTOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Albino kuandamana kwenda Ikulu kupinga vitendo vya mauaji dhidi yao
Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner.
Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner...
10 years ago
MichuziMSAMA AKABIDHI MILIONI MBILI KWA AJILI YA KUSIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
GPLALBINO KUANDAMANA KWENDA IKULU KUPINGA VITENDO VYA MAUAJI DHIDI YAO
10 years ago
Mwananchi22 May
Mauaji ya albino Tanzania
10 years ago
Mtanzania20 Feb
UN yaingilia kati mauaji ya albino Tanzania
GENEVA, USWISI
KAMISHNA wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Zeid Ra’ad Al Hussein, ameitaka Serikali ya Tanzania kuchunguza na kuwashtaki watu waliohusika na uhalifu wa mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Al Hussein amehoji vitendo hivyo kujitokeza wakati nchi ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Tamko hilo alilitoa jana ambapo alilaani vikali mauaji ya mtoto albino Yohana Bahati mwenye umri wa mwaka mmoja.
“Nalaani vikali...