Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALBINO KUANDAMANA KWENDA IKULU KUPINGA VITENDO VYA MAUAJI DHIDI YAO‏

 Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari  Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner.  … ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Albino kuandamana kwenda Ikulu kupinga vitendo vya mauaji dhidi yao

1 (1)

Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari  Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner. 

  

Ofisa Habari  Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner...

 

10 years ago

Vijimambo

Naungana na Wewe Kupinga Vitendo vya kikatili juu ya Albino

"Ni kweli mimi ni Albino, nimejikubali na nimeishi maisha yangu yote bila kujali nilivyo. Sijawahi kutumia hali yangu kupata kitu kwa huruma, nimeyapigania maisha yangu na nimepiga hatua.
Leo hii naongea nanyi nikiwa Baba, Mume, Mwandishi Mwandamizi, Blogger, na mengine mengi, lakini hali yangu sasa inaanza kunikwaza.
Haya mauaji jamani, nimejiteua kuwa Balozi, nitatetea, na kusimama mbele ya wenzangu wote wenye hali kama hii, kama ni wanasiasa ama wafanyabiashara, wanataka kutuua kwa maslahi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuandamana Dar kupinga mauaji Palestina

TAASISI ya Hawzat-Imam-Swadiq (A.S), iliyopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, imepanga kufanya maandamano kesho kupinga mauaji yanayoendelea Mashariki ya Kati dhidi ya Wapalestina. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,...

 

10 years ago

Mtanzania

Filamu kupinga mauaji ya albino kuandaliwa

albinoNA JOHN MADUHU, MWANZA
WAIGIZAJI wa filamu nchini, wanatarajia kuungana katika filamu moja itakayokuwa ikipinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Mwigizaji Jacob Steven ‘JB’, alizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, wakati wa kongamano la amani lililoandaliwa na maaskofu na masheikh wa Mkoa wa Mwanza.
JB ambaye alikuwa ameongozana na wasanii wengine kama Mzee Majuto na Mrisho Mpoto, alisema mchakato wa kuandaa filamu hiyo umeanza.
“Tumeguswa na mauaji ya walemavu wa ngozi,...

 

10 years ago

GPL

T.F.S.C KUANDAA BONANZA KULAANI, KUPINGA MAUAJI YA ALBINO

Msemaji wa Temeke Family and Sports Club, Maulid Kisoma wa pili kutoka kulia akiongea jambo katika mkutano huo. Mwenyekiti wa Club hiyo, Hassan Mulajani,(wa kwanza kushoto) Katibu Mkuu wa  Club hiyo, Kassim Lumeta(wa pili kushoto) pamoja na Ernest Kimaya (kulia) Mwenyekiti wa Chama…

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama na Keisha Mzigoni Kupinga Mauaji ya Albino!!

Takribani kwa wiki mzima sasa Staa wa Bongo Movies, Riyama amekuwa akitoa ujumbe mzito akiitaka  jamii kuacha na kupinga mauaji huku akisisitiza upendo kwa ndugu zetu mwenye ulemavu wa ngozi  (Albinos)  kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.

Siku ya jana  Riyama alibandika picha hiyo hapo juu akiwa na mwanamziki Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi na kuandika kuwa wapo kazini, kitu ambacho mashabiki wake wengi  walijiongeza kuwa Riyama  na Keisha watakuwa Lokeshani wakitengeneza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya mauaji ya Albino TZ

Kampeni kubwa imezinduliwa Tanzania, iliyoongozwa na rais wa nchi hiyo Jakaya Kikwete, kuchangisha pesa kuwalinda albino.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani