Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapambano dhidi ya mauaji ya Albino, UN yahimiza uwajibikaji.

Na Rogers Wilium na Maliganya Charahani,

Mwanza.

 

Shirika la Umoja wa Mataifa UN limesema mauaji ya Albino, vitendo vya ukatili wa kijinsia na tatizo la watoto wa mitaani nchini T anzania yanaweza kutatuliwa kwa uwajibikaji wa mamlaka na idara zote nchini.

Hoja hiyo inakuja katika ziara ya Mkurugenzi mkazi wa Shirika hilo Alvaro Rodriguez aliyoifanya kwenye mikoa ya Mwanza, Mara na Shinyanga na kujionea changamoto hizo kwa ujumla.

Mikoa ya kanda ya Ziwa bado inakumbana na tatizo la...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSAMA AKABIDHI MILIONI MBILI KWA AJILI YA KUSIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MAUAJI YA ALBINO

 Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni moja Mjumbe wa Kamati Kuu Taifa ya Chama cha Albino Tanzania, Mohamed Chanzi kwa ajili kuunga mkono kampeni ya kupinga mauaji ya albino. Kushoto ni Mweka Hazina wa Chama hicho, Abdilah Omari na wa pili kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Hudson Kamoga. Mbali na fedha hizo Msama alikabidhi hundi ya sh. milioni moja. (Picha na Francis Dande) Msama akikabidhi hundi ya sh....

 

10 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya mauaji ya Albino TZ

Kampeni kubwa imezinduliwa Tanzania, iliyoongozwa na rais wa nchi hiyo Jakaya Kikwete, kuchangisha pesa kuwalinda albino.

 

9 years ago

Vijimambo

Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi


Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Bindamu nchini yatoa mikakati dhidi ya mapambano ya mauaji kwa watu wenye Albinisim

DSC_0623

Mwenyekiti wa tume ya Haki za Binadamu nchini, Bwana Bahame Tom Mukirya -Nyanduga  (katikati) akiongea na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya taarifa ya  wadau kukomesha tatizo la mauaji kwa watu wenye Albinisim nchini. Mkutano huo na wandishi wa habari ulifanyika Idara Habari Maelezo,n mwishoni mwa wiki.

 Na Andrew Chale wa Modewji blog

Tume ya Haki za Bindamu nchini, inatarajia kufanya tukio kubwa la Kitaifa katika maeneo ya Kanda ya Ziwa  Tarehe 13 mwezi Juni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Albino kuandamana kwenda Ikulu kupinga vitendo vya mauaji dhidi yao

1 (1)

Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari  Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner. 

  

Ofisa Habari  Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner...

 

10 years ago

GPL

ALBINO KUANDAMANA KWENDA IKULU KUPINGA VITENDO VYA MAUAJI DHIDI YAO‏

 Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari  Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner.  … ...

 

10 years ago

Mwananchi

Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana

Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa ebola nchini Guinea mwezi Machi mwaka huu, watu 2,500 wamefariki dunia kutokana na virusi vyake, zaidi ya nusu ni raia wa Liberia.

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani