Stara Thomas akana kufumaniwa na mpenzi wake
Aliyekuwa mwimbaji muziki wa gospel na baadaye kurudi kwenye Bongo Fleva,Stara Thomas amekana habari zilizoenea hivi karibuni kuwa amefumaniwa na mpenzi wake nyumbani kwake. Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa mwanamke kama yeye hawezi kufumaniwa na kwamba mpenzi wake wa sasa kinachomsumbua ni wivu wa kimapenzi bila kumtaja jina mpenzi wake huyo wa sasa.
Aidha ameongeza kuwa hayuko tayari zungumzia suala hilo kwa sasa ndiyo maana amekaa kimya tangu habari hizo zitoke...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
STARA THOMAS AFUMANIWA!
10 years ago
Bongo Movies15 May
Kumbe Wastara na Stara Thomas ni Ndugu!
Staa wa Bongo Movies Wastara Juma leo kupitia ukutrasa wake mtandaoni ametoboa kuwa staa wa Bongo Fleva Wastara Thomas ni ndugu kitu ambacho hata yeye mwenye kimemshangaza.
Wastara alibandika picha hiyo hapo juu ana kuiandikia maelezo haya.
Wastara wa 4, bibi Stara, mama Stara, dada Stara, mdogo Stara, ilo ndilo jina langu halisi nililopewa na bibi yangu huyu hapo mzaa mama usishangae kumuona Stara tomath hata mimi nilisahangaa jina ilo kalipata wapi lakini maswali yameisha leo baada...
10 years ago
GPL
BARUA NZITO STARA THOMAS JITATHMINI UPYA
10 years ago
GPL
STARA THOMAS AMKATIKIA MAUNO MZEE CHILLO
10 years ago
GPL
STARA THOMAS AACHIA WIMBO WA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
10 years ago
CloudsFM12 Dec
Stara Thomas afanya mahojiano na kipindi cha Leo Tena,kuachia albam ya ngoma zake za zamani
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva,Stara Thomas akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena leo amezungumzia mambo mengi kuhusu muziki wake pia anatarajia kuachia albamu yake ya nyimbo zake zote za zamani hivi karibuni.
Stara akifanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena,Husna Abdul.
10 years ago
Vijimambo
Kuhusiana na skendo ya kukutwa na mume wa mtu, Hii ndiyo barua nzito kwa mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva Stara Thomas

Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni kukupa pole kwa tukio lililotokea juzikati maana suala la kukutwa na...
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...
10 years ago
Habarileo13 Apr
Gwajima akana utajiri wake
ASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama ni utajiri, anatarajia siku moja utamshukia.