Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STARA THOMAS AACHIA WIMBO WA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI‏

Msanii Stara Thomas. Msanii Stara Thomas, ametoa wimbo mpya UWEZESHWAJI WA MWANAMKE ambao ni maalum kwa ajili ya siku ya kinamama dunia inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Stara T aachia wimbo wa Siku ya Wanawake Duniani


Msanii Stara T, ametoa wimbo mpya UWEZESHWAJI WA MWANAMKE ambao ni maalum kwa ajili ya siku ya kinamama dunia inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka.

 

11 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA TGNP‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...

 

10 years ago

GPL

UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI‏

  Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa akikusanya misaada waliyokuwa wakitoa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es…

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani

Tunaangazia siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka kuanzi jinsi siku hii muhimu iliyobuniwa zaidi ya karne moja ilyopita.

 

10 years ago

GPL

STARA THOMAS AFUMANIWA!

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Risasi
HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzikazti alinusa kwenye gospo ‘ikamshinda', Stara Thomas anadaiwa kufumaniwa na mumewe, Raumu Ally mpaka kufikishana polisi, Risasi Jumamosi halipitwagi na ‘ubuyu’. Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe. Kwa mujibu wa shuhuda wa kuaminika, tukio hili lilijiri hivi karibuni nyumbani kwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kumbe Wastara na Stara Thomas ni Ndugu!

Staa wa Bongo Movies  Wastara Juma leo kupitia ukutrasa wake mtandaoni ametoboa kuwa staa wa Bongo Fleva Wastara Thomas ni ndugu kitu ambacho hata yeye mwenye kimemshangaza.

Wastara alibandika picha hiyo hapo juu ana kuiandikia maelezo haya.

Wastara wa 4,  bibi Stara, mama Stara, dada Stara, mdogo Stara, ilo ndilo jina langu halisi nililopewa na bibi yangu huyu hapo mzaa mama usishangae kumuona Stara tomath hata mimi nilisahangaa jina ilo kalipata wapi lakini maswali yameisha leo baada...

 

10 years ago

GPL

BARUA NZITO STARA THOMAS JITATHMINI UPYA

KWAKO mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva, Stara Thomas. Bila shaka ni mzima wa afya na unaendelea na mishimishe zako maana najua una mambo mengi, muziki wa kidunia na ule wa kiroho. Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.
Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni...

 

10 years ago

CloudsFM

Stara Thomas akana kufumaniwa na mpenzi wake

Aliyekuwa mwimbaji muziki wa gospel na baadaye kurudi kwenye Bongo Fleva,Stara Thomas amekana habari zilizoenea hivi karibuni kuwa amefumaniwa na mpenzi wake nyumbani kwake. Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa mwanamke kama yeye hawezi kufumaniwa na kwamba mpenzi wake wa sasa kinachomsumbua ni wivu wa kimapenzi bila kumtaja jina mpenzi wake huyo wa sasa.
Aidha ameongeza kuwa hayuko tayari zungumzia suala hilo kwa sasa ndiyo maana amekaa kimya tangu habari hizo zitoke...

 

10 years ago

GPL

STARA THOMAS AMKATIKIA MAUNO MZEE CHILLO

Na Gabriel Ng’osha/Ijumaa
MWANAMUZIKI Stara Thomas juzikati aliwaacha watu hoi kwa kicheko pale alipoamua kumkatikia mauno Mzee Chillo walipokuwa wakicheza muziki. Mwanamuziki Stara Thomas akikata mauno mbele ya Mzee Chillo. Tukio hilo lililonogesha shughuli lilijiri kwenye uzinduzi wa kitabu cha marehemu Steven Kanumba kilichopewa jina la The Great Follen Tree uliofanyika ndani ya Hoteli ya Landmark, Ubungo jijini Dar....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani