Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.


Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.

Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.

“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MCHUMBA WA SHILOLE AKATALIWA UKWENI

Stori: Musa Mateja, Tabora
OHOOO! Mchumba wa staa wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukataliwa ‘ukweni’ kwao, Tabora. Mchumba wa staa wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’, Naftari Mlawa ‘Nuh…

 

10 years ago

GPL

KISA WIVU, AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MPENZI WAKE

Juma Ally akionyesha jeraha alilolipata baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake. Na Haruni Sanchawa
MAPENZI kiboko! Juma Ally, mkazi wa Mongolandege Ilala jijini Dar es Salaam, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake, Swaumu Shemsanga, kisa kikidaiwa kupishana kauli kwenye mazungumzo yao. Anayedaiwa kummwagia maji ya moto Juma Ally. Chanzo makini kimelieleza gazeti hili kuwa tukio...

 

10 years ago

Vijimambo

AMCHINJA MPENZI WAKE MPAKA KUFA KISA WIVU WA MAPENZI

Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisuMwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa  hatapiga tena picha akiwa faragha na mchumba wake Nuh Mziwanda kwani zimekuwa zikivuja bila yeye kujua na kusababisha adhaulike kwenye jamii.

Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Shilole alisema alikuwa akifanya hivyo ili badaye  akiwa yuko mbali na mpenzi wake apate kuangalia jinsi walivyokuwa wakifurahishana lakini mambo hubadilika zikivuja na hivyo kuwa kwaza mashabiki wake ambao wanaheshimu sanaa...

 

9 years ago

Bongo5

Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)

Couple ya Shilole na Nuh Mziwanda sasa ni ngoma droo upande wa kuchora Tattoo za majina yao kwenye miili yao. Nuh ndiye aliyeanza kuchora tattoo kwenye mikono yake yote miwili. Tattoo ya kwanza ilikuwa ya jina la Shishi Bybee, na baadaye alikuja kuongeza Tattoo ya pili yenye sura ya Shishi. Mpenzi wake Shilole naye ameamua […]

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch […]

 

10 years ago

Vijimambo

WANAMWITA LULU MICHAEL UMRI WAKE NA UREMBO WAKE NI SHIIIIIDA


Inasemekana ndio kwanza atatimiza miaka 20 soon lakini ukimwangalia kwenye picha uzuri wake na urembo ni shida kwa umri wake je unafikiri ingekuwa vizuri kuwa mke au andelee tu kuwa pambo na watu wazidi kutokwa na udenda kuliwinda penzi lake?. Huyo ndiyo Lulu Michael aliemzawadia mama yake nyumba kama zawaidi ya birthday hakika ni mrembo.

 

9 years ago

MillardAyo

RIP mtu mnene kuliko wote duniani, kutana na picha za mwili wake wakati wa uhai wake

Unakumbuka au umwahi kusikia zile headlines za mtu mnene kuliko wote duniani, basi imenifikia stori yake mpya japokuwa sio njema mtu wangu. Andres Moreno jamaa ambaye anashikilia rekodi ya kuwa mtu mnene duniani amefariki dunia December 25 siku ya sikukuu ya Chrismass. Stori kutoka indianexpress.com zinaeleza Andres Moreno ambaye alikuwa anatajwa kuwa na uzito wa Kilogram […]

The post RIP mtu mnene kuliko wote duniani, kutana na picha za mwili wake wakati wa uhai wake appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani