Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake
Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa hatapiga tena picha akiwa faragha na mchumba wake Nuh Mziwanda kwani zimekuwa zikivuja bila yeye kujua na kusababisha adhaulike kwenye jamii.
Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Shilole alisema alikuwa akifanya hivyo ili badaye akiwa yuko mbali na mpenzi wake apate kuangalia jinsi walivyokuwa wakifurahishana lakini mambo hubadilika zikivuja na hivyo kuwa kwaza mashabiki wake ambao wanaheshimu sanaa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Jela kwa kusambaza picha za mpenzi wake
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Picha:TBT ya Wema Akiwa na ‘Girlzz’ Wake
Leo ikiwa ni ile siku ya mitupo ya nyuma yaani ThrowBackThursday ambapo watu hutupia picha zao za zamani kwenye mtandao wa Instagram, Staa mrembo Wema Sepetu ametupia picha hiyo akiwa na mastaa warembo wenzake, Jackline Wolper na Irene Uwoya.
Wema aliweka picha hiyo na kuiandikia “TBT With My Girlzzz” kisha akawa tag Wolper na Uwoya.
Mbali na picha hii kuleta malumbano ambayo hayakuwa na tija, Swala la urafiki uliokuwepo zamani kati ya wadada hawa na jinsi walivyo hivi sasa ndio...
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Picha: JB Akiwa Nyumbani Kwao kwa Mzee Wake
Leo ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa kwa mzee wake.
Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.
“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha huyo hap juu akiwa na mzee wake.
Picha huyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho...
9 years ago
Bongo Movies16 Dec
Picha: Irene Uwoya Akiwa mtoto wake, Krish Ndikumana…
Kila Mtu Amesema Lake Kuhusu Picha Hizi, Ila Kama Wewe Umezipenda Usisite ku-LIKE na Ku-SHARE
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-lXU3_AO7ElY/VMVJ5vcieoI/AAAAAAAEXzQ/i8c2fgv4HWA/s72-c/a.jpg)
Tazama picha ya mfalme wa Saudi Arabia aliyefariki akiwa na wake zake 30.
![](http://2.bp.blogspot.com/-lXU3_AO7ElY/VMVJ5vcieoI/AAAAAAAEXzQ/i8c2fgv4HWA/s640/a.jpg)