Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jela kwa kusambaza picha za mpenzi wake

Mwanamume mmoja mjini Los Angeles nchini Marekani, amefungwa jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza picha utupu za mchumba wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jela kwa kumwibia mpenzi wake

Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, imemhukumu kifungo cha miezi tisa jela, Haven Robert(24) baada ya kupatikana na hatia ya kumwibia mpenzi wake Sh 3.9 milioni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kumkata kichwa mpenzi wake

Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza na kufungwa maisha jela

 

10 years ago

Bongo5

Waziri wa Uganda aagiza Desire Luzinda na boyfriend wake wakamatwe na kushitakiwa kwa kusambaza picha za utupu

Ile skendo ya kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa kike wa Uganda, Desire Luzinda imezidi kumuweka pabaya, kwani sasa waziri wa maadili wa Uganda ameagiza mrembo huyo akamatwe na kushitakiwa. Kwa mujibu wa New Vision, waziri Simon Lokodo ameagiza polisi kuwafuatilia na kuwakamata Luzinda na boyfriend, ili washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha […]

 

10 years ago

Mwananchi

Ajipeleka jela ili amuone mpenzi wake

Waliosema duniani kuna mambo, hakika hawakukusea. Msichana mmoja amefanya kituko cha aina yake, baada ya kuiba chupa ya mvinyo ili apelekwe jela, ambako angekwenda kukutana na mpenzi wake.

 

10 years ago

Habarileo

Kada wa CCM Rukwa aliyeua mpenzi wake atupwa jela

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga imemhukumu aliyekuwa Katibu wa Mwenezi na Itikadi wa CCM Mkoa wa Rukwa, Patrick Maufi (48) kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake bila kukusudia kwa wivu wa kimapenzi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa  hatapiga tena picha akiwa faragha na mchumba wake Nuh Mziwanda kwani zimekuwa zikivuja bila yeye kujua na kusababisha adhaulike kwenye jamii.

Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Shilole alisema alikuwa akifanya hivyo ili badaye  akiwa yuko mbali na mpenzi wake apate kuangalia jinsi walivyokuwa wakifurahishana lakini mambo hubadilika zikivuja na hivyo kuwa kwaza mashabiki wake ambao wanaheshimu sanaa...

 

9 years ago

Bongo5

Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)

Couple ya Shilole na Nuh Mziwanda sasa ni ngoma droo upande wa kuchora Tattoo za majina yao kwenye miili yao. Nuh ndiye aliyeanza kuchora tattoo kwenye mikono yake yote miwili. Tattoo ya kwanza ilikuwa ya jina la Shishi Bybee, na baadaye alikuja kuongeza Tattoo ya pili yenye sura ya Shishi. Mpenzi wake Shilole naye ameamua […]

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: FLAVIANA MATATA AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU SASA KUITWA MRS MASSAWE

 Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe.Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015 katika kanisa la St.Joseph ikafuatiwa na sherehe iliyofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

CloudsFM

WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KULAWITI NA KUSAMBAZA PICHA MTANDAONI

WASHITAKIWA wanaokabiliwa na mashitaka ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii, wamepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali ambapo walidaiwa kumlawiti mwanaume mwenzao na kumpiga picha kwa madai ya kutaka kulipwa Sh milioni moja.
Washitakiwa hao ni Erick Kasira (39) na Juma Richard (31) ambao wanadaiwa kulawiti sanjari na kupiga picha za tukio hilo.

Wakili wa Serikali Mutalemwa Kishenyi alidai mbele ya Hakimu Mfawidhi Said Mkasiwa kwamba Agosti 23 mwaka huu, maeneo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani