Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajipeleka jela ili amuone mpenzi wake

Waliosema duniani kuna mambo, hakika hawakukusea. Msichana mmoja amefanya kituko cha aina yake, baada ya kuiba chupa ya mvinyo ili apelekwe jela, ambako angekwenda kukutana na mpenzi wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jela kwa kumwibia mpenzi wake

Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, imemhukumu kifungo cha miezi tisa jela, Haven Robert(24) baada ya kupatikana na hatia ya kumwibia mpenzi wake Sh 3.9 milioni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kusambaza picha za mpenzi wake

Mwanamume mmoja mjini Los Angeles nchini Marekani, amefungwa jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza picha utupu za mchumba wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kumkata kichwa mpenzi wake

Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza na kufungwa maisha jela

 

10 years ago

Habarileo

Kada wa CCM Rukwa aliyeua mpenzi wake atupwa jela

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga imemhukumu aliyekuwa Katibu wa Mwenezi na Itikadi wa CCM Mkoa wa Rukwa, Patrick Maufi (48) kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake bila kukusudia kwa wivu wa kimapenzi.

 

10 years ago

Bongo5

Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari

Baada ya mwanaume aliyedai kuwa ni mpenzi wa Huddah kujitokeza na kuupinga uhusiano wa Diamond na Zari The Boss Lady wa Uganda, Socialite wa Kenya Huddah Monroe naye ameibuka na kukana kuwa hajawahi kuwa na uhusiano na njemba huyo. Huddah alipost ujumbe mrefu Instagram ambao baadae aliufuta, wa kuelezea jinsi alivyokutana na jamaa huyo aitwaye […]

 

11 years ago

Bongo Movies

SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.


Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.

Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.

“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...

 

10 years ago

GPL

UNAJENGA UKARIBU NA MKE, MPENZI WA MTU ILI IWEJE?

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya. Mimi namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na uwezo wa kuandika hiki nilichodhamiria kukufikishia siku ya leo.
Nazungumzia ukaribu ambao baadhi ya watu wamekuwa wakiujenga kwa wake au waume za watu bila hofu yoyote na kuona ni jambo la kawaida tu. Katabia hako kamechipukia huko mtaani ambapo unakuta mtu yuko kwenye ndoa au uhusiano wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Kabula atulizwa na mpenzi wake

jini kabulaNA RHOBI CHACHA

BAADA ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, mwigizaji wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.

Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.

“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu...

 

10 years ago

GPL

NISHA MPENZI WAKE WAMWAGANA

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’  na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu zisizojulikana na sasa kila mmoja  yupo bize na maisha yake....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani