Kada wa CCM Rukwa aliyeua mpenzi wake atupwa jela
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga imemhukumu aliyekuwa Katibu wa Mwenezi na Itikadi wa CCM Mkoa wa Rukwa, Patrick Maufi (48) kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake bila kukusudia kwa wivu wa kimapenzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Jela kwa kumwibia mpenzi wake
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Jela kwa kumkata kichwa mpenzi wake
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Jela kwa kusambaza picha za mpenzi wake
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Ajipeleka jela ili amuone mpenzi wake
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1ULzpAvZYKo/Xr9xyh6fmzI/AAAAAAALqas/u0RRHpM7JAI5cJQruxeGrFrJ1asON_aBwCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%25282%2529.jpg)
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
10 years ago
Mtanzania12 May
Kada CCM ampiga katibu wake
NA ELIYA MBONEA, SIMANJIRO
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Kata ya Endiamtu Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Issa Katuga anadaiwa kumpiga ngumi na mateke Katibu wa chama hicho, Salimu Kombo baada ya kumtuhumu kugoma kuidhinisha matumizi ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kwenda kulipa madeni.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za CCM za kata hiyo, baada ya Mwenyekiti Katunga kumtuhumu katibu wake kuwa amegoma kuidhinisha fedha...
11 years ago
Habarileo17 Mar
Aliyefumaniwa atupwa miaka 5 jela
MKAZI wa Kijiji cha Kasokola wilayani Mlele, Makanga Vipawa (43) aliyefumaniwa na mke wa mtu akifanya mapenzi shambani mwa mume wa mwanamke huyo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Atupwa jela miaka mitatu
MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo
Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.
Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...
10 years ago
Habarileo02 Jan
Mwinjilisti atupwa jela miaka 30
MAHAKAMA ya Mkoa wa Tabora i m e m h u k u m u Mwinjilisti wa Kanisa la Menonite Ipuli Manispaa ya Tabora, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji wa msichana wa miaka 16.