Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Uganda aagiza Desire Luzinda na boyfriend wake wakamatwe na kushitakiwa kwa kusambaza picha za utupu

Ile skendo ya kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa kike wa Uganda, Desire Luzinda imezidi kumuweka pabaya, kwani sasa waziri wa maadili wa Uganda ameagiza mrembo huyo akamatwe na kushitakiwa. Kwa mujibu wa New Vision, waziri Simon Lokodo ameagiza polisi kuwafuatilia na kuwakamata Luzinda na boyfriend, ili washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Desire Luzinda aomba radhi kwa kuvuja kwa picha zake za utupu!

Muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda amevunja ukimya na ameamua kuomba radhi rasmi kwa picha zake za utupu zilizovuja mtandaoni. Kupitia Facebook, Luzinda ameiomba msamaha familia na mashabiki wake na kukubali kuwajibika kwa kukubali kupiga picha hizo za aibu. Hivi ndivyo alivyoandika: To all my fans in Uganda and all over the world, as you might […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Ex wa Desire Luzinda aliyevujisha picha zake za utupu aibuka na kuzungumiza kilichomfanya avujishe

Baada ya muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda kutoa tamko rasmi la kuomba radhi kutokana na picha zake za utupu zilizovujishwa mtandaoni, aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki huyo Mnigeria Franklin Emuobor Ebenhron naye ameibuka na kuzungumzia sababu zilizomfanya kuvujisha picha za ex wake huyo baada ya kutofautiana. Franklin na Luzinda enzi za uhusiano wao Msikilize hapa

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Waziri mwanamke wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley. Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kusambaza picha za mpenzi wake

Mwanamume mmoja mjini Los Angeles nchini Marekani, amefungwa jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza picha utupu za mchumba wake.

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’

Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni. Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika “EKITONE […]

 

9 years ago

Habarileo

RC aagiza waliokula fedha za Tasaf wakamatwe

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amemwagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Igunga, Abedi Maige kuwakamata baadhi ya watendaji wa vijiji waliohusika kula fedha za Mradi wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kunusuru kaya masikini Awamu ya Tatu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je umetuma picha za utupu kwa simu? Tahadhari

Kwa mara ya kwanza mahakama imeamuru kulipwa kwa fidia na msichana mmoja ambaye alishurutishwa kutuma picha za utupu kupitia mtandao wa kijamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani