Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Desire Luzinda aomba radhi kwa kuvuja kwa picha zake za utupu!

Muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda amevunja ukimya na ameamua kuomba radhi rasmi kwa picha zake za utupu zilizovuja mtandaoni. Kupitia Facebook, Luzinda ameiomba msamaha familia na mashabiki wake na kukubali kuwajibika kwa kukubali kupiga picha hizo za aibu. Hivi ndivyo alivyoandika: To all my fans in Uganda and all over the world, as you might […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Ex wa Desire Luzinda aliyevujisha picha zake za utupu aibuka na kuzungumiza kilichomfanya avujishe

Baada ya muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda kutoa tamko rasmi la kuomba radhi kutokana na picha zake za utupu zilizovujishwa mtandaoni, aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki huyo Mnigeria Franklin Emuobor Ebenhron naye ameibuka na kuzungumzia sababu zilizomfanya kuvujisha picha za ex wake huyo baada ya kutofautiana. Franklin na Luzinda enzi za uhusiano wao Msikilize hapa

 

10 years ago

Bongo5

Waziri wa Uganda aagiza Desire Luzinda na boyfriend wake wakamatwe na kushitakiwa kwa kusambaza picha za utupu

Ile skendo ya kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa kike wa Uganda, Desire Luzinda imezidi kumuweka pabaya, kwani sasa waziri wa maadili wa Uganda ameagiza mrembo huyo akamatwe na kushitakiwa. Kwa mujibu wa New Vision, waziri Simon Lokodo ameagiza polisi kuwafuatilia na kuwakamata Luzinda na boyfriend, ili washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Mziwanda Aomba Radhi kwa Picha ya Chafu

Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki na muigizaji Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupost picha ambayo inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa wakioga.

Picha hiyo ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi. Kwa mujibu wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa ajili ya video yake mpya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka sasa.

Baada ya juzi usiku Nuhu Mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!

tigo-logo

[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.

Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...

 

11 years ago

BBCSwahili

Justin Bieber aomba radhi kwa ubaguzi

Justin Bieber, ameoamba radhi kwa kutumia neno la kibaguzi wakati akiwakejeli wamarekani weusi kuhusu swala la ubaguzi wa rangi.

 

10 years ago

Bongo5

Shilole aomba radhi kwa kumdunda Nuh Mziwanda

Baada ya kuzuka tetesi kuwa alimdunda vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi. Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika: “Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga […]

 

9 years ago

Bongo5

Dr. Dre aomba radhi kwa ukatili aliowafanyia wanawake

Dr. Dre ameomba radhi kwa ukatili aliowahi kuwafanyia wanawake miaka mingi iliyopita. Rapper na producer huyo ameandika maelezo yake kupitia gazeti la The New York Times na kudai kuwa amebadilika. “Miaka 25 iliyopita nilikuwa kijana mdogo ninayekunywa sana pombe kichwani mwangu sikuwa na mpangilio wa maisha,” alisema. “Hata hivyo, yote haya si sababu ya kukwepa […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Waziri mwanamke wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley. Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye […]

 

5 years ago

Michuzi

MASANJA ARIPOTI OFISINI KWA DC KATAMBI, AOMBA RADHI NA KUSAMEHEWA

 Mchekeshaji Emmanuel Mgaya 'Masanja' (kulia) akizungumza na wandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi (kushoto) mchana wa leo.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza na wandishi wa habari baada ya kumaliza kumhoji Masanja baada ya jana kuagiza kuripoti ofisini kwake.
Charles James, Michuzi TV
YAMEISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi kumsamehe mchekeshaji Emmanuel Mgaya 'Masanja'...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani