Shilole aomba radhi kwa kumdunda Nuh Mziwanda
Baada ya kuzuka tetesi kuwa alimdunda vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi. Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika: “Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Mziwanda Aomba Radhi kwa Picha ya Chafu
Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki na muigizaji Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupost picha ambayo inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa wakioga.
Picha hiyo ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi. Kwa mujibu wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa ajili ya video yake mpya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka sasa.
Baada ya juzi usiku Nuhu Mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa...
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
‘Ramadhani’ Yamfanya Nuh Mziwanda Kuondoka kwa Shilole
Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani umemfanya msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda kuondoka nyumbani kwa mpenzi ambaye ni msanii,Shilole ili kumpisha mpenzi wake afunge kwani hawajafunga ndoa.
Shilole ameyazungumza hayo wakati akizungumza na Clouds Fm,ratiba yake nzima ya mapishi kwenye mwezi Mtukufu na kusema kuwa mwezi huu wa Ramadhani ameacha kufanya vitu vyote vya starehe na ndiyo maana hata mpenzi wake Nuh ameondoka nyumbani kwake ili asiharibu funga yake.
‘’Nuh ameondoka nyumbani...
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Siwezi kuacha toto zuri Shilole kwa kibao tu-Nuh Mziwanda
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/shiloleee.jpg)
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.
10 years ago
VijimamboSHILOLE NA NUH MZIWANDA WATUA UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YA JUMAMOSI 9.5.2015
[picha na Maganga One...
10 years ago
Bongo Movies20 Jun
Baada ya Kushambuliwa kwa Kumpa Break Nuh Mziwanda, Shilole Ajibu Mapigo
Baada ya Shilole kutangaza kumpa break mwenzi wake Nuh Mziwanda kwa muda wa mwezi huu mzima, wakitarajia kuendeleza malavi davi yao baada ya kipindi hiki kitakatifu kupita, baadhi ya mashabiki ambao wanajinasibu kuijua dini wamekuwa wakimshambulia Shilole kwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa kitendo cha kutaka kumrudia tena Miziwanda bila ndoa sio sawa kwa upande wa dini na wengine kwenda mabli zaidi na kudai hata kazi yake ya sanaa ambayo humfanya kukata maouno pia haifai, kitendo...
10 years ago
Bongo Movies12 Feb
VIJIMAMBO: Siwezi kuacha toto zuri Shilole kwa kibao tu-Nuh Mziwanda
Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili
“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.
10 years ago
GPLNUH MZIWANDA NA SHILOLE WATUA NCHINI UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YAO YA JUMAMOSI 9.5.2015
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSvIEXWXlijDY1LB5JTd3idxJyON9kxtK77yOWCXs2m3qwXZ7CUq5UNGnxkrRkkxh*bdQeUIrxZw8tHY2LELpEZb/shilole.jpg)
SHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.