Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’

Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni. Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika “EKITONE […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Ex wa Desire Luzinda aliyevujisha picha zake za utupu aibuka na kuzungumiza kilichomfanya avujishe

Baada ya muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda kutoa tamko rasmi la kuomba radhi kutokana na picha zake za utupu zilizovujishwa mtandaoni, aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki huyo Mnigeria Franklin Emuobor Ebenhron naye ameibuka na kuzungumzia sababu zilizomfanya kuvujisha picha za ex wake huyo baada ya kutofautiana. Franklin na Luzinda enzi za uhusiano wao Msikilize hapa

 

11 years ago

Bongo5

New Music Video: Hussein Machozi aachia video mpya ya ‘Harusi’ baada ya mkasa wa kudaiwa kufumaniwa Kenya

Hit maker wa ‘Kwaajili yako’ Hussein Rashid aka Hussein Machozi ameachia video na wimbo mpya ikiwa ni zaidi ya wiki moja imepita toka atawale vichwa vya habari katika vyombo vingi vya habari vya Kenya na baadae kuhamia Tanzania. Habari hizo zilizomuhusu nyota huyo ambaye kwa sasa anafanya muziki wake nchini Kenya zilidai kuwa alifumaniwa na […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross

Baada ya kutangaza tarehe mpya (Sept 16) ya kutoka kwa album yake ya ‘X’ ambayo iliahirishwa kwa zaidi ya mwaka, Chris Brow ameachia video mpya ya wimbo wake ‘New Flame’ ambao amewashirikisha Usher na Rick Ross. Itazame

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’

avril

Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.

avril

Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Msanii wa Nigeria Skiibii aliyetumia ‘stunt’ ya kifo aachia video mpya

Kama lile tukio la kuzushiwa/kujizushia kifo kwa msanii anayeibukia wa Nigeria, Skiibii ilikuwa ni ‘publicity stunt’, (Ingia Hapa) basi itakuwa imefanya kazi kwa kiasi fulani, kwasababu bila hivyo huenda muda huu hata mimi nisingekuwa naandika juu ya video yake mpya sababu kabla ya hapo sikuwa namfahamu. Siku chache baada ya msanii huyo wa label ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Flavour aachia video mpya ‘Wiser’

Staa wa wa Nigeria, Flavour ameachia video mpya ya wimbo aliowashirikisha M.I. na Phyno. Video ya wimbo huo ‘Wiser’ imeongozwa na director wa Nigeria, Clarence Peters. Wasanii wengi wa Nigeria wanatoa nyimbo na video kwa muda mfupi sana, huenda hii ikawa ni moja ya sababu inayowafanya waendelee kufanya vizuri, Ni mwezi mmoja tu umepita toka […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: PSY aachia video mpya ‘Daddy’

PSY new

Mkorea PSY ambaye video ya wimbo wake ‘Gangnam Style’ ilivunja rekodi ya Youtube, ameachia video mpya ‘Daddy’. ‘Daddy’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa. Video hii inmejaa vituko kama ilivyo kawaida kwa video zake.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Waziri wa Uganda aagiza Desire Luzinda na boyfriend wake wakamatwe na kushitakiwa kwa kusambaza picha za utupu

Ile skendo ya kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa kike wa Uganda, Desire Luzinda imezidi kumuweka pabaya, kwani sasa waziri wa maadili wa Uganda ameagiza mrembo huyo akamatwe na kushitakiwa. Kwa mujibu wa New Vision, waziri Simon Lokodo ameagiza polisi kuwafuatilia na kuwakamata Luzinda na boyfriend, ili washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani