Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: PSY aachia video mpya ‘Daddy’

PSY new

Mkorea PSY ambaye video ya wimbo wake ‘Gangnam Style’ ilivunja rekodi ya Youtube, ameachia video mpya ‘Daddy’. ‘Daddy’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa. Video hii inmejaa vituko kama ilivyo kawaida kwa video zake.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’

Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni. Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika “EKITONE […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’

avril

Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.

avril

Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Msanii wa Nigeria Skiibii aliyetumia ‘stunt’ ya kifo aachia video mpya

Kama lile tukio la kuzushiwa/kujizushia kifo kwa msanii anayeibukia wa Nigeria, Skiibii ilikuwa ni ‘publicity stunt’, (Ingia Hapa) basi itakuwa imefanya kazi kwa kiasi fulani, kwasababu bila hivyo huenda muda huu hata mimi nisingekuwa naandika juu ya video yake mpya sababu kabla ya hapo sikuwa namfahamu. Siku chache baada ya msanii huyo wa label ya […]

 

11 years ago

Bongo5

New Music Video: Hussein Machozi aachia video mpya ya ‘Harusi’ baada ya mkasa wa kudaiwa kufumaniwa Kenya

Hit maker wa ‘Kwaajili yako’ Hussein Rashid aka Hussein Machozi ameachia video na wimbo mpya ikiwa ni zaidi ya wiki moja imepita toka atawale vichwa vya habari katika vyombo vingi vya habari vya Kenya na baadae kuhamia Tanzania. Habari hizo zilizomuhusu nyota huyo ambaye kwa sasa anafanya muziki wake nchini Kenya zilidai kuwa alifumaniwa na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Flavour aachia video mpya ‘Wiser’

Staa wa wa Nigeria, Flavour ameachia video mpya ya wimbo aliowashirikisha M.I. na Phyno. Video ya wimbo huo ‘Wiser’ imeongozwa na director wa Nigeria, Clarence Peters. Wasanii wengi wa Nigeria wanatoa nyimbo na video kwa muda mfupi sana, huenda hii ikawa ni moja ya sababu inayowafanya waendelee kufanya vizuri, Ni mwezi mmoja tu umepita toka […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross

Baada ya kutangaza tarehe mpya (Sept 16) ya kutoka kwa album yake ya ‘X’ ambayo iliahirishwa kwa zaidi ya mwaka, Chris Brow ameachia video mpya ya wimbo wake ‘New Flame’ ambao amewashirikisha Usher na Rick Ross. Itazame

 

10 years ago

Bongo5

Video ya PSY ‘Gangnam Style’ yavunja kikomo cha ‘video counter’ ya views za Youtube

Video ya Mkorea PSY ‘Gangnam Style’ iliyotoka 2012 ilivunja rekodi kwa kuwa video iliyotazamwa kuliko zote (muda wote) kwenye mtandao wa Youtube, lakini sasa imevunja kiwango cha mwisho cha ‘video counter’ ya Youtube. Youtube wamesema kuwa video hiyo imetazamwa zaidi ya mara bilioni 2.5 mpaka Dec 4, 2014, hivyo wamelazimika kuongeze namba kwenye ‘video counter’ […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Rick Ross aachia video 2 mpya ‘If They Knew’ & ‘Hood Billionaire’

Rick Ross ambaye wiki hii ametoa album yake mpya na ya saba ‘Hood Billionaire’, ameachia video mbili mpya za nyimbo kutoka kwenye album hiyo. Video hizo ni ‘If They Knew’ pamoja na ‘Hood Billionaire’. Ingia hapa kutazama video ya ‘Hood Billionaire’

 

10 years ago

Michuzi

boniface aachia wimbo na video mpya - nikitaka



Kwa mara nyingine tena Yule msanii machachari ambaye anainukia kwa kasi katika muziki wa bongofleva  Boniface( a.k.a handsome boy a.k.a asali ya Morogoro   a.k.a bon-to-face)  kwa mara nyingine tena ameachia wimbo na video yake mpya iitwayo  “Nikitaka”. 
Audio ya wimbo huo umefanyika katika studio  za Authentic Record jijini Dar es salaam chini ya Producer mwenye kiwango za hali ya juu Mr. Allan Mapigo, 
Video ya wimbo huu imefanywa kampuni mpya kabisa shine studioz, ni moja ya kazi safi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani