Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music Video: Hussein Machozi aachia video mpya ya ‘Harusi’ baada ya mkasa wa kudaiwa kufumaniwa Kenya

Hit maker wa ‘Kwaajili yako’ Hussein Rashid aka Hussein Machozi ameachia video na wimbo mpya ikiwa ni zaidi ya wiki moja imepita toka atawale vichwa vya habari katika vyombo vingi vya habari vya Kenya na baadae kuhamia Tanzania. Habari hizo zilizomuhusu nyota huyo ambaye kwa sasa anafanya muziki wake nchini Kenya zilidai kuwa alifumaniwa na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Hussein Machozi afunguka sakata la kufumaniwa Kenya

MWANAMUZIKI aliyoibuliwa na wimbo wa ‘kwa ajili yako’ Hussein Machozi amefunguka na kuelezea tukio la kufumaniwa na mke wa mwanasiasa nchini Kenya na kudai kuwa jambo hilo halina ukweli wowote....

 

10 years ago

Bongo5

Hussein Machozi aelezea ukweli wa habari ya kufumaniwa na mke wa mwanasiasa Kenya

Star wa bongo Hussein Machozi hatimaye amezungumzia tukio lililotokea mwezi uliopita na kupelekea vyombo vingi vya habari nchini Kenya kuripoti kuwa amekamatwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya. Haya ndio maelezo ya hit maker wa ‘Kwaajili Yako’ kuhusu kilichotokea, alipozungumza na Millard Ayo kupitia Amplifaya ya Clouds FM jana (Agosti 28). “Ukweli […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Hussein Machozi — Mimi Nawe

Hussein Machozi ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Mimi Nawe’. Itazame hapa.

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’

Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni. Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika “EKITONE […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross

Baada ya kutangaza tarehe mpya (Sept 16) ya kutoka kwa album yake ya ‘X’ ambayo iliahirishwa kwa zaidi ya mwaka, Chris Brow ameachia video mpya ya wimbo wake ‘New Flame’ ambao amewashirikisha Usher na Rick Ross. Itazame

 

9 years ago

Bongo5

Video: Hussein Machozi — Msinitimue

Hii ni video mpya ya wimbo wa HUSSEIN MACHOZI unaitwa “Msinitimue”..wimbo huu unazungumzia MIRATHI ..HUSSEIN MACHOZI ameamua kuvaa uhusika katika wimbo huu kama mtu aliechaguliwa kusoma husia ulio andikwa na marehemu,,HUSSEIN MACHOZI alitimuliwa na wahusika ambao waliokua wakitaka kudhulumu MALI ambazo zinawahusu familia ya marehemu Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani